-
Iran yaitaka ICC kuharakisha kufuatilia jinai za Israel Ukanda wa Ghaza
Oct 30, 2023 23:41Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ametaka kuharakishwa ufuatiliaji wa kisheria wa hali ya Palestina hasa hali mbaya ya Ukanda wa Ghaza katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC.
-
Mayahudi wa Iran waandamana kote nchini kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 30, 2023 08:36Mayahudi wa Iran leo wamekusanyika katika miji tofauti kote nchini kulaani jinai za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza.
-
Amir Abdollahian azungumza kwa njia ya simu na Waziri Mkuu wa Qatar; wajadili matukio ya Gaza
Oct 30, 2023 03:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Waziri Mkuu wa Qatar wamezungumza kwa simu na kubadilishana mawazo kuhusu matukio ya Gaza.
-
Raisi: Kulaaniwa Israel katika Baraza Kuu la UN ni mafanikio muhimu
Oct 29, 2023 23:30Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya hivi karibuni ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kupasisha azimio juu ya vita vya Gaza ni mafanikio muhimu katika mkondo wa kusitisha jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Kan'ani: Jinai zinazofanywa na Wazayuni huko Ghaza ni mauaji ya kimbari
Oct 29, 2023 23:00Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amechapisha picha za watoto waliouawa shahidi na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Ghaza na kuzitaja jinai zinazofanywa na Wazayuni katika eneo hilo kuwa ni mauaji ya wazi ya kimbari.
-
Raisi: Kushindwa kwa Wazayuni katika operesheni ya nchi kavu ni kukubwa kuliko kushindwa katika operesheni ya Kimbunga ya Al-Aqsa
Oct 29, 2023 11:21Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutaja kushindwa kwa Wazayuni katika operesheni ya nchi kavu huko Ghaza kuwa ni kukubwa zaidi kuliko kipigo na kushindwa kwake katika operesheni ya Kimbunga ya Al-Aqsa.
-
Iran: Jinai za Israel Ghaza zimefedhehesha sura halisi ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni
Oct 29, 2023 02:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, jinai za kuchupa mipaka zinazoendelea kufanywa na Wazayuni huko Ghaza, Palestina zimeufedhehesha utawala wa Kizayuni, Marekani na waungaji mkono wote wa utawala huo wa ubaguzi wa rangi mbele ya walimwengu wote.
-
Raisi: Leo taifa la Palestina linahitaji zaidi uungaji mkono athirifu wa walimwengu hasa wa nchi za Kiislamu kuliko wakati wowote ule
Oct 28, 2023 23:31Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo ya simu aliyofanya na Amir wa Qatar Sheikh Tamim bin Hamad bin Khalifa Al Thani kwamba, leo taifa la Palestina linahitaji zaidi uungaji mkono athirifu wa walimwengu na hasa wa nchi za Kiislamu kuliko wakati wowote ule.
-
Iran: Mchakato wa kufuatilia jinai za Wazayuni kwenye duru za kimetaifa, umeanza
Oct 28, 2023 11:03Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya sheria za kimataifa amesema kuwa, mchakato wa kufuatilia jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wa Ghaza umeanza katika taasisi za kimataifa.
-
Diplomasia yenye nguvu na amilifu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu Ghaza; tokea safari za kieneo hadi New York
Oct 28, 2023 04:25Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, katika kuendelea na siasa za diplomasia amilifu na imara kuhusu Ghaza, amesafiri mjini New York ambapo ameshiriki katika kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kusisitiza juu ya haja ya kuchukuliwa hatua muhimu za dharura ili kukomesha vita huko Ghaza