-
Amir-Abdollahian akutana na Guterres, asisitiza uungaji mkono wa Iran kwa Palestina
Oct 28, 2023 03:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza uungaji mkono wa Jamhuri ya Kiislamu kwa wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina mbele ya jinai za kinyama za utawala wa Israel.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Siku ya Tufani ya Al-Aqsa ni siku ya baraka kwa watu wa Palestina.
Oct 27, 2023 10:27Akizungumzia mafanikio ya operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa, Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesema: "Siku ya Tufani ya Al-Aqsa" inapaswa kuzingatiwa kuwa Siku ya Al Baraka kwa watu wa Palestina na Siku ya Nakba kwa utawala wa Kizayuni.
-
Iran yataka jamii ya kimataifa ikabiliane na wahalifu wa Kizayuni
Oct 27, 2023 10:17Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamuri ya Kiislami ya Iran ameihutubu jamii ya kimataifa zikiwemo asasi za kimataifa, serikali na mataifa na kusema: "Simameni dhidi ya jinai za Kizayuni na waungaji mkono wao na muwatetee Wapalestina wanaodhulumiwa huko Ghaza kwa ajili ya amani na usalama wa dunia."
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Indonesia walaani mauaji ya kimbari ya Israel, Ukanda wa Gaza
Oct 27, 2023 05:39Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran, Hossein Amir Abdollahian na mwenzake wa Indonesia, Retno Marsudi, wamelaani mauaji yanayoendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza.
-
Amir Abdollahian: Utawala wa Kizayuni unafanya mauaji ya kimbari huko Gaza
Oct 27, 2023 02:21Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unafanya mauaji ya kimbari huko Gaza.
-
Salami: Operesheni ya ardhini Gaza itawatafuna wanajeshi wa Israel
Oct 26, 2023 08:54Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amelionya vikali jeshi la Israel kwamba, operesheni ya nchi kavu dhidi ya eneo la Ukanda wa Gaza linalokaliwa kwa mabavu haitakuwa na matokeo mengine ghairi ya kutafunwa na kuangamizwa wanajeshi wa utawala wa Kizayuni.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: Marekani ni mshirika katika uhalifu wa Israel
Oct 26, 2023 04:03Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumzia dhulma inayokabiliwa na subira na ukakamavu wa wananchi wa Gaza dhidi ya jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema: Safari za mara kwa mara za marais wa Marekani na nchi nyingine za shari na dhalimu kama Uingereza, Ufaransa na Ujerumani huko katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ni jaribio la kuzuia kusambaratika utawala huo ghasibu.
-
Amir-Abdollahian: Uhalifu wa kivita na mauaji ya kimbari ya raia Gaza na Ufukwe wa Magharibi lazima yasimamishwe mara moja
Oct 26, 2023 03:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: uhalifu wa kivita na mauaji ya kimbari ya raia katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan lazima yakomeshwe mara moja.
-
Kan'ani: Waungaji mkono wa Israel ni washirika wa jinai za utawala wa Kizayuni
Oct 25, 2023 22:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, kila anayeuunga mkono utawala wa Kizayuni anashiriki kikamilifu kwenye jinai za Israel na hawezi kamwe kujivua nazo.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Utawala mbovu wa Israel unalipiza kisasi dhidi ya watu wanaodhulumiwa wa Palestina
Oct 25, 2023 11:56Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: Utawala unaoikalia Quds kwa mabavu wa Israel uliojeruhiwa na kudhoofika, unalipiza kisasi kwa kipigo barabara cha wapiganaji wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza.