-
Rais Ebrahim Raisi: Jinai za Wazayuni ni sura halisi ya ubaguzi na ukoloni wa Magharibi
Oct 25, 2023 11:55Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaja jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza na uungaji mkono wa nchi za Magharibi kwa jinai hizo kuwa ni sura halisi ya ubaguzi wa rangi na ukoloni wa nchi za Magharibi.
-
Kubainishwa misimamo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na vita vya Gaza
Oct 25, 2023 04:19Siku 19 zimepita tangu kilipoanza Kimbunga cha Al-Aqsa na vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza. Suali muhimu la kujiuliza hapa ni je, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa na msimamo gani kuhusiana na vita hivi na imechukua hatua gani?
-
Iran: Marekani ni mshirika wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina wa Gaza
Oct 25, 2023 04:07Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Marekani ni mshirika katika jinai za kutisha za Israel huko Ukanda wa Gazal kutokana na uungaji mkono wake usio na kifani kwa utawala huo unaokalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Rais Raisi: Kusimamishwa mashambulio dhidi ya Gaza kiwe kipaumbele cha Baraza la Usalama la UN
Oct 24, 2023 23:48Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, kusitishwa mashambulio dhidi ya Gaza inapasa kiwe kipaumbele cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Waziri wa Ulinzi: Maadui wanaogopa jibu kali la Iran
Oct 24, 2023 23:22Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema hatua yoyote ghalati ya maadui itaipelekea Jamhuri ya Kiislamu itoe jibu kali na la kuumiza, na ambalo litamfanya adui ajutie.
-
Rais Raisi: Msimamo mmoja wa Ulimwengu wa Kiislamu ungeliweza kuzuia dhulma za utawala wa Kizayuni
Oct 24, 2023 10:08Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: msimamo mmoja wa Ulimwengu wa Kiislamu ungeliweza kuzuia dhulma za wa utawala wa Kizayuni.
-
Ebrahim Raisi: Bilikuli utawala wa Kizayuni hauwezi kuwa rafiki wa nchi yoyote ya Kiiislamu
Oct 24, 2023 03:56Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, katu utawala wa Kizayuni wa Israel hauwezi kuwa rafiki wa nchi yoyote ya Kiiislamu.
-
Spika wa Bunge la Iran: Palestina ni kadhia ya kwanza ya ulimwengu wa Kiislamu
Oct 24, 2023 03:54Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria operesheni ya Kimbunga cha al-Aqswa na kusema kuwa, siku tunazopitia ni muhimu sana na nyeti kwa ulimwengu wote, hasa ulimwengu wa Kiislamu.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran asisitiza kusitishwa haraka jinai za utawala wa Kizayuni; azungumza na Hania na Al Nakhaleh
Oct 23, 2023 09:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezungumza kwa simu kwa nyakati tofauti na viongozi wa muqawama wa Palestina na kusisitiza kusitishwa haraka iwezekanavyo jinai za utawala wa Kizayuni za mauaji dhidi ya raia wa Palestina.
-
Idadi ya mashahidi wa Gaza Palestina yafikia 5087
Oct 23, 2023 08:40Wizara ya Afya ya Palestina katika Ukanda wa Gaza imetangaza kuwa, zaidi ya Wapalestina 5,000 wameuawa shahidi na wengine zaidi ya 15,000 kujeruhiwa kutokana na hujuma na mashambulio ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza.