-
Dakta Larijani: Mamluki wa Marekani na Israel wanahusika katika machafuko nchini Iran
Jan 10, 2026 08:41Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, mikono ya Marekani na utawala wa Kizayuni katika matukio haya iko wazi na dhahiri.
-
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Oman wasisitiza kuimarisha uhusiano wa nchi zao
Jan 10, 2026 08:41Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman wamesisitiza azma thabiti ya nchi zao ya kuimarisha na kupanua uhusiano wa nchi zao katika nyanja mbalimbali.
-
Marekani inahusika katika kugeuza maandamano ya amani kuwa machafuko nchini Iran
Jan 10, 2026 05:52Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Bw. Amir-Saeid Iravani katika Umoja wa Mataifa ameliandikia barua Baraza la Usalama la umoja huo akisema Marekani imeyageuza malalamiko na maandamano ya amani ya wananchi wa Iran kuwa ghasia na machafuko.
-
Balozi wa Iran UN: Marekani inahusika na machafuko ya sasa nchini Iran
Jan 10, 2026 01:28Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameliandikia barua Baraza la Usalama la umoja huo akisema Marekani imeyageuza maandamano ya amani ya wananchi wa Iran kuwa ghasia na machafuko.
-
Baraza la Usalama wa Taifa: Wafanya uharibifu watachukuliwa hatua bila ya kuonewa huruma
Jan 10, 2026 00:56Baraza la Usalama wa Taifa la Iran limetoa taarifa, -ambayo mbali na kuashiria kuwa tangu baada ya vita vya siku 12 Marekani na utawala wa kizayuni wa Israel hazijaacha kufanya chokochoko za vita na uadui dhidi ya taifa la Iran-, imesisitiza kwamba: taifa linaloheshimika la Iran litazivunja mbinu za kihujuma na ufanyaji uharibifu wa adui kwa umoja na mshikamano wa kitaifa.
-
Araqchi: Teknolojia haiwezi kuangamizwa kupitia mashambulizi
Jan 10, 2026 00:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameashiria mashambulizi ya utawala wa Kizayuni na Marekani dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran vinavyofanya kazi kwa malengo ya kiraia katika vita vya siku 12 na kusema baadhi ya majengo, taasisi na suhula za nyuklia zinazotumika kwa malengo ya amani za Iran zilidhurika hata hivyo teknolojia haiweza kuangamizwa kupitia mashambulizi.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Waandamanaji watajitenga na wachache wanaovuruga amani
Jan 09, 2026 09:40Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo ya mjini Tehran, Hujjatul Islam Sayyid Mohammad Hassan Abu Torabi Fard amesema, waandamanaji waelewa na wenye ghera ya uhuru na mamlaka imara ya nchi watatenganisha njia yao na ya wachache wanaoitakia mabaya nchi, wafanyao vitendo vya ukatili na kuvuruga nidhamu ya jamii; na hilo ni jambo lenye ulazima usioweza kuepukika.
-
Kiongozi Muadhamu: Mikono ya Trump imeloa damu ya maelfu ya Wairani
Jan 09, 2026 07:24Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kundi la watu waharibifu jana usiku mjini Tehran waliharibu mali za umma na za wananchi kwa ajili ya kumfurahisha rais wa Marekani.
-
"Handala" yafichua operesheni za MOSSAD ndani ya Iran
Jan 09, 2026 02:53Kundi moja la kutetea Palestina linalofahamika kwa jina la Handala limefichua utambulisho wa Mehrdad Rahimi, mtu anayeelezwa kuwa afisa wa kusimamia na kuendesha operesheni za maajenti wa shirika la kijasusi la Israel la Mossad hapa nchini Iran.
-
Iran: Filihali sio muda mwafaka wa kufanya mazungumzo na Marekani
Jan 08, 2026 02:16Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kwa sasa sio muda mwafaka wa kufanya mazungumzo na Marekani.