-
Araghchi: Iran inaunga mkono umoja wa kitaifa wa Lebanon
Jan 08, 2026 23:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima imeiunga mkono na itaendelea kuinga mkono Lebanon, umoja wa kitaifa, uhuru na mamlaka ya kujitawala nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Ustawi wa uhusiano wa Iran na nchi za Asia ya Kati 2025, sababu na matunda yake
Jan 08, 2026 22:51Uhusiano wa Iran na nchi za Asia ya Kati ulistawi sana katika mwaka uliopita waw 2025 na kuna sababu mbalimbali zilizopelekea kushuhudiwa jambo hilo lenye manufaa mengi.
-
Iran: Filihali sio muda mwafaka wa kufanya mazungumzo na Marekani
Jan 08, 2026 03:06Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kwa sasa sio muda mwafaka wa kufanya mazungumzo na Marekani.
-
Iran: Uingiliaji wa Marekani wakusudia kuchochea vurugu na ugaidi
Jan 07, 2026 23:37Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu Iran imekemea vikali kauli za kuingilia na za upotoshaji zilizotolewa na maafisa wa Marekani kuhusu hali za ndani ya Iran, ikisema matamshi hayo yanaakisi uhasama wa kudumu wa Washington dhidi ya taifa hili na yamelenga kuibua machafuko na hali ya kutokuwa na usalama nchini.
-
Meja Jenerali Hatami: Vitisho vya maadui havitapita bila kujibiwa
Jan 07, 2026 08:02Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran, Meja Jenerali Amir Hatami amesema Jamhuri ya Kiislamu inayatazama matamshi ya vitisho na kichochezi ya maadui zake kuwa tishio la moja kwa moja dhidi ya taifa hili, na itatoa majibu madhubiti iwapo vitisho hivyo vitaendelea kutolewa.
-
Baghaei: Israel ibebeshwe dhima kwa mashambulizi ya kinyama Lebanon
Jan 07, 2026 06:50Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa wito kwa jamii ya kimataifa kuiwajibisha Israel kwa uhalifu wa kivita, kufuatia wimbi la mashambulizi mabaya dhidi ya Lebanon, na kukanyaga makubaliano ya kusitisha mapigano.
-
Pezeshkian: Maadui wanajaribu kuzuia maendeleo ya taifa kupitia vikwazo
Jan 07, 2026 04:27Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali mashinikizo ya nchi ajinabi dhidi ya taifa la Iran.
-
“Usalama ni Mstari Mwekundu”: Iran yaapa kujibu vikali vitisho vinavyozidi kuongezeka
Jan 06, 2026 23:28Baraza la Ulinzi la Iran limelaani vitisho vinavyozidi kuongezeka, kauli za uchochezi na matamshi ya kuingilia mambo ya ndani, hususan kutoka Marekani, dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, likionya kuwa shambulio lolote dhidi ya usalama, uhuru au mipaka ya ardhi ya taifa litakabiliwa kwa majibu makali.
-
IRGC: Iran haiogopi vitisho na haitakubali kutawaliwa na Marekani
Jan 06, 2026 23:27Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Brigedia Jenerali Ahmad Vahidi, amesema kuwa Iran haiogopi vitishio vya maadui na kamwe haitakubali kutawaliwa na Marekani. Ametoa kauli hiyo kujibu vitisho vilivyotolewa hivi karibuni na Rais wa Marekani Donald Trump.
-
Qalibaf: Israel ilibembeleza kusitisha mapigano wakati wa vita vya siku 12
Jan 06, 2026 08:41Spika wa Majlisi ya Ushauri wa Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa: Katika siku chache za mwisho za vita vya siku 12, utawala wa Kizayuni uliomba kwa kubembeleza kusitisha mapigano na ukweli huo unaonesha nguvu ya Muqawama wa taifa la Iran mbele ya wavamizi.