-
Video: Rais Raisi apokewa rasmi na Rais William Ruto wa Kenya katika ziara ya kuzitembelea Kenya, Uganda na Zimbabwe
Jul 12, 2023 01:19Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo alfajiri amewasili jijini Nairobi na kuanza ziara rasmi ya kuzitembelea nchi tatu za Afrika za Kenya, Uganda na Zimbabwe.
-
Rais Raisi aanza safari za kuzitembelea nchi tatu za Afrika za Kenya, Uganda na Zimbabwe
Jul 11, 2023 23:40Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameanza ziara rasmi ya kuzitembelea nchi tatu za Afrika za Kenya, Uganda na Zimbabwe.
-
Kanani: Visiwa vya Bu Musa, Tombu Ndogo na Tombu Kubwa ni milki ya Iran
Jul 11, 2023 23:38Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amepinga taarifa ya pamoja iliyotolewa na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi na Russia kuhusu visiwa vitatu vya Iran vya Bu Musa, Tombu Ndogo na Tombu Kubwa na kusema: Visiwa hivyo vitatu daima vitasalia kuwa milki ya Iran.
-
Marekani yakiri kwamba Iran haina nia ya kuzalisha silaha za nyuklia
Jul 11, 2023 10:53Licha ya madai ya huko nyuma ya maafisa wa nchi za Magharibi na Wazayuni, taasisi ya ujasusi ya Marekani imekiri kwamba Iran haifuatilii silaha za nyuklia.
-
Qalibaf: Changamoto ya sasa ya Magharibi ni kurejea Asia katika kitovu cha nguvu za kiuchumi na kisiasa duniani
Jul 11, 2023 10:28Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa moja ya changamoto kuu zinazoukabili mfumo wa kimataifa wa mhimili wa Magharibi katika karne ya 21 ni suala la kurejea Asia na kuwa kitovu cha sera za dunia na nguvu za kiuchumi na kisiasa.
-
Wanadiplomasia: Iran na Misri zimefikia hatua nzuri ya kukurubisha mitazamo yao na kurejesha uhusiano
Jul 11, 2023 05:30Tovuti ya habari ya Al-Arabi Al-Jadeed leo Jumanne imewanukuu wanadiplomasia wa Misri wakisema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Misri zimefikia hatua nzuri ya kukurubisha pamoja mitazamo yao hususan katika masuala yanayohusiana na maeneo yao.
-
Iran: Aliyechoma moto Qurani Sweden ana uhusiano na MOSSAD
Jul 11, 2023 04:10Wizara ya Intelijensia ya Iran imefichua mfungamano uliopo baina ya Salwan Momika, raia wa Sweden aliyechoma moto nakala ya Qur'ani Tukufu mjini Stockholm mwezi uliopita na shirika la ujasusi la Israeli (MOSSAD).
-
Safari ya Rais wa Iran huko Kenya, Uganda na Zimbabwe inalenga kuimarisha uhusiano na Afrika
Jul 11, 2023 01:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ziara ya Rais Ebrahim Raisi wa Iran katika nchi tatu za Kenya, Uganda na Zimbabwe ni muendelezo wa sera za serikali za kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika.
-
IRGC yazima juhudi za US za kuzuia kukamatwa meli iliyoiba mafuta ya Iran
Jul 10, 2023 23:54Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limefanikiwa kunasa meli nyingine ya kigeni ikifanya magendo ya mafuta ya Iran katika maji ya Ghuba ya Uajemi, licha ya jitihada za Marekani za kutaka kuzuia kukamatwa kwa meli hiyo.
-
Safari ya kwanza ya Rais wa Iran barani Afrika baada ya miaka 11
Jul 10, 2023 22:56Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumanne ya leo ameondoka nchini kuelekea barani Afrika kwa ziara ya siku tatu ya kuzitembelea nchi za Kenya, Uganda na Zimbabwe.