-
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran:Vyombo vya intelijinsia havitawaacha magaidi
Jul 09, 2023 23:20Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameonya kuwa vyombo vya intelijinsia havitaacha kuwasaka magaidi.
-
Helikopta za Iran ndizo zenye uwezo mkubwa zaidi Asia Magharibi
Jul 09, 2023 07:34Kamanda wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Nchi Kavu la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inamiliki helikopta nyingi zaidi, za kisasa na zenye uwezo mkubwa zaidi katika eneo la Asia Magharibi.
-
Iran: Marekani inafanya hima kurefusha vita vya Ukraine
Jul 09, 2023 07:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria mpango wa Marekani wa kutuma nchini Ukraine mabomu 'yaliyopigwa marufuku ya vishada na kusisitiza kuwa, Washington inafanya kila iwezalo ili kuhakikisha kuwa vita vya Ukraine havimaliziki haraka.
-
Mashauriano ya kirafiki yanayotawala katika uhusiano wa Iran na Algeria
Jul 09, 2023 04:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria Ahmed Attaf, ambaye amekuwa ziarani hapa nchini kwa mwaliko wa Hossein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ametoa matamshi ya kirafiki na ya heshima sana kuhusu uhusiano wa Algeria na Iran katika mkutano wa pamoja na waandishi wa habari aliofanya na mwenyeji wake.
-
Rais wa Iran kutembelea nchi kadhaa za Afrika, lengo ni kuimarisha uhusiano wa kisiasa, kiuchumi
Jul 09, 2023 04:47Rais wa Iran, Ebrahim Raisi, anatazamiwa kuanza ziara rasmi ya kuzitembelea nchi tatu barani Afrika katika fremu ya sera za Jamhuri ya Kiislamu za kupanua uhusiano na nchi marafiki.
-
Raisi: Uhusiano wa Iran na Algeria unaweza kupanuliwa katika nyanja za biashara na uchumi
Jul 09, 2023 02:25Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja uhusiano kati ya Iran na Algeria kuwa ni baina ya nchi mbili rafiki, wa kidugu na Kiislamu, ambao unaweza kupanuliwa kwa kuzingatia misimamo ya kieneo na kimataifa ya pande mbili katika nyuga mbalimbali zikiwemo nyanja za kibiashara na kiuchumi.
-
Abdollahian: Uhusiano wa Iran na Algeria upo katika mkondo sahihi
Jul 08, 2023 09:01Hossein Amir Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema leo katika mkutano na waandishi wa habari hapa Tehran akiwa pamoja na mwenzake wa Algeria Ahmed Attaf kuwa uhusiano wa Iran na Algeria upo katika mkondo sahihi.
-
Shambulio la kigaidi katika kituo cha polisi cha 16 cha Zahedan lahitimishwa, magaidi 4 wauawa
Jul 08, 2023 08:52Shambulio la kigaidi lililofanywa leo na watu waliokuwa na silaha katika kituo cha polisi cha 16 huko Zahedan makao makuku ya mkoa wa Sistan na Baluchistan kusini mashariki mwa Iran limemalizika kwa kuuliwa magaidi kadhaa.
-
China yataka vikwazo dhidi ya Iran viondolewe na Magharibi iheshimu JCPOA
Jul 07, 2023 23:55Naibu Mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa amezitaka nchi za Magharibi ziheshimu na zitekeleze kikamilifu vipengee vya azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kuindolea Iran vikwazo vyote ilivyowekewa kidhulma baada ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa: Ghadir ni siku ya kudhihirisha uchamungu, nuru, imani, mamlaka ya dini
Jul 07, 2023 08:43Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema: Sikukuu ya Ghadir Khum ni siku ya kudhihirisha uchamungu, nuru, imani, mamlaka ya dini, usimamizi wa Tauhidi na udhihirisho la sifa za Mwenyezi Mungu katika kuteuliwa Amirul-Mu'minin Ali bin Abi Twalib kuwa khalifa na kiongozi wa Waislamu baada ya Mtume Muhammad (saw).