-
Umoja wa Mataifa wataka kuondolewa vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran
Jul 07, 2023 08:40Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Kisiasa, amehutubiia kikao cha Baraza la Usalama cha kukagua utekelezwaji wa azimio nambari 2231, na kuelezea kuwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ndio chaguo bora zaidi la kuhakikisha "hali ya amani ya mpango wa nyuklia wa Iran."
-
Iran yamwita mwanadiplomasia wa Uingereza kuhusu matamshi ya uingiliaji ya London
Jul 07, 2023 04:21Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imemwita balozi mdogo wa Uingereza mjini Tehran kuwasilishiwa malalamiko kuhusu matamshi "haribifu na uingiliaji" ya balozi wa Uingereza katika Umoja wa Mataifa kuhusu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Ripoti yenye malengo maalumu ya Baraza la Haki za Kibinadamu dhidi ya Iran sambamba na ghasia za Ufaransa
Jul 07, 2023 04:07Kamati eti ya kutafuta ukweli iliyoundwa na Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa kuhusu Iran imetoa ripoti yake ya awali kuhusu kile ilichokiita 'ukandamizaji wa Iran dhidi ya maandamano ya nchi nzima'.
-
Hongera katika siku kuu ya Ghadir Khum
Jul 06, 2023 23:40Leo Ijumaa mwaka 1444 Hijria Qamaria sawa na 7 Julai 2023 inasadifiana na siku kuu ya Ghadir Khum ambayo ni idi kubwa ya Waislamu.
-
Iran yajitosheleza kikamilifu katika sekta ya uchimbaji mafuta na gesi
Jul 06, 2023 07:31Waziri wa Mafuta wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu sasa inajitosheleza kikamilifu katika sekta ya uchimbaji mafuta na gesi, baharini na katika nchi kavu.
-
Iran:Kuanzishwa ujumbe wa UN kuhusu machafuko ya mwaka jana 'kumechochewa kisiasa'
Jul 06, 2023 04:36Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekadhibisha ripoti ya ujumbe uliopewa mamlaka na Umoja wa Mataifa kuhusu machafuko ya mwaka 2022 nchini, ikisema hatua ya Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa ya kuanzisha ujumbe kama huo ilichukuliwa kwa malengo ya kisiasa na haikubaliki".
-
Guterres: Mapatano ya JCPOA bado ni chaguo bora
Jul 06, 2023 04:03Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema katika ripoti yake ya 15 kuhusu azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la umoja huo kwamba: Mapatano ya JCPOA bado ni chaguo bora.
-
Jenerali Qaani: Vijana wa Palestina wametoa pigo kwa Wazayuni
Jul 05, 2023 07:17Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amewapongeza vijana wa Palestina kwa kupambana kishujaa na kupata ushindi mkabala wa Wazayuni katika mji wa Jenin, eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Abdollahian aitaka Ulaya ikabaliane na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu
Jul 05, 2023 00:35Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaka Ulaya ichukue hatua za maana na athirifu kwa ajili ya kukabiliana na aina kwa aina ya vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu.
-
Kikao cha 23 cha wakuu wa Jumuiya ya Shanghai mjini New Delhi na maudhui ya uanachama kamili wa Iran
Jul 04, 2023 10:17Mkutano wa 23 wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai umefanyika leo kwa njia ya Intaneti na kwa uenyeji wa India. Mkutano huo umemshirikisha pia Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.