-
Rais Raisi: Jumuiya ya Shanghai ina nafasi ya kipekee katika kustawisha mashirikiano
Jul 04, 2023 08:16Rais Ebrahim Raisi amesema Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai ina nafasi ya kipekee katika kustawisha mchakato wa kupanua mashirikiano ya kisiasa, kiusalama na kiuchumi.
-
Rais wa Iran aalikwa kuhudhuria mkutano wa BRICS Afrika Kusini
Jul 04, 2023 03:54Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amealikwa rasmi kuhudhuria mkutano ujao wa kundi la BRICS utakaofanyika nchini Afrika Kusini.
-
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhutubia Mkutano wa Wakuu Jumuiya ya Shanghai
Jul 04, 2023 01:05Rais wa Iran ambaye ni miongoni mwa wanachama wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai na Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran atahutubia Mkutano wa 23 wa Wakuu wa jumuiya hiyo utakaofanyika kwa njia ya intaneti huko New Delhi.
-
Iran: Mapatano ya amani na Israel hayawezi kukomesha ukatili wa utawala huo
Jul 04, 2023 00:05Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali mashambulizi ya jinai ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa mji wa Jenin, huko kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu.
-
Balozi wa Kenya Iran atembelea "Bustani ya Makumbusho ya Naderi" mjini Mashhad
Jul 03, 2023 09:33Balozi wa Kenya nchini Iran ametembelea Jumba la Bustani ya Makumbusho ya Naderi lililoko mjini Mashhad, Mkoa wa Khorasan Razavi.
-
Wapenzi wa Qur'an kukusanyika ubalozi wa Sweden Tehran kulaani kuvunjiwa heshima Qur'ani
Jul 02, 2023 23:20Wadau mbalimbali wa Qur'an leo watakusanyika katika ubalozi wa Sweden mjini Tehran kulaani kuvunjiwa heshima Qur'an tukufu huko nchini Sweden.
-
Admeri Tangsiri: Mafuta yaliyoko Ghuba ya Uajemi ni ya Iran, majirani zake
Jul 02, 2023 23:20Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema mafuta yaliyoko katika eneo la Ghuba ya Uajemi ni milki ya Iran na majirani zake katika eneo hili la kistratajia.
-
Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lalaani vikali kuvunjiwa heshima Qur'ani nchini Sweden
Jul 02, 2023 08:25Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetoa taarifa na kulaani kitendo kiovu cha kudhalilisha na kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Sweden.
-
Kesi ya shambulio la kemikali la Sardasht katika mahakama ya ICC
Jul 02, 2023 08:16Majeruhi wa shambulio la kemikali katika mji wa Sardasht, kaskazini magharibi mwa Iran, amesisitiza kuwa kesi ya mashambulizi ya silaha za kemikali dhidi ya mji huo inafutiliwa katika katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Kukamilika mchakato wa uanachama wa Iran katika Jumuiya ya Shanghai
Jul 02, 2023 07:50Uanachama rasmi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai unatarajiwa kukamilika katika kikao kijacho cha jumuiya hiyo tarehe 4 Julai.