-
Askari 2 wa Iran wauawa katika shambulio la kichokozi la Taliban; utulivu warejea
May 27, 2023 22:59Askari wawili wa mpakani wa Iran wameuawa shahidi huku raia wawili wakijeruhiwa katika shambulizi la kichokozi la wapiganaji wa Taliban katika mpaka wa Jamhuri ya Kiislamu na Afghanistan.
-
Mapigano yazuka kati ya askari wa mpakani wa Iran na wapiganaji wa Taliban
May 27, 2023 07:40Mapigano yamezuka kati ya Vikosi vya Walinzi wa Mpaka wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na vikosi vya Taliban kwenye mpaka wa Sistan na Baluchistan ya Iran na mkoa wa Nimroz wa Afghanistan, na katika maeneo mengine ya kandokando ya vijiji kadhaa ikiwa ni pamoja na Sasoli, Hatem na Makki.
-
Kuachiliwa huru mwanadiplomasia wa Iran; Mafanikio kwa Jamhuri ya Kiislamu na kushindwa upinzani
May 27, 2023 07:20Assadollah Assadi mwanadiplomasia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyekuwa ametekwa nyara hatimaye amerejea Iran baada ya kushikiliwa mateka huko Ubelgiji kwa miaka mitano.
-
Kan'ani: Madai ya uongo ya Ukraine yanalenga kuvutia misaada ya silaha na fedha kutoka Magharibi
May 27, 2023 03:47Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu madai ya chuki yaliyotolewa na Rais wa Ukraine dhidi ya Iran na kusisitiza kuwa, hatua hiyo ya serikali ya Kiev ya kukariri madai ya uongo inalenga kuvutia misaada zaidi ya silaha na ya kifedha kutoka nchi za Magharibi.
-
"Waliomzatiti kwa silaha Saddam wanatiwa kiwewe na uwezo wa kiulinzi wa Iran"
May 26, 2023 22:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu kile kilichotajwa kuwa 'wasiwasi' wa nchi za Magharibi juu ya ustawi na mafanikio ya Jamhuri ya Kiislamu katika uga wa ulinzi na kusisitiza kuwa, madola hayo yanayotiwa kiwewe na uwezo mkubwa wa kiulinzi wa Iran ndiyo yaliyomshajiisha na kumzatiti kwa silaha dikteta wa zamani wa Iraq, Saddam Hussein ili awashambulie Wairani.
-
Mwanadiplomasia wa Iran, Assadollah Assadi, aliyekamatwa Ubelgiji arejea nchini
May 26, 2023 22:06Assadollah Assadi, mwanadiplomasia wa Iran ambaye alikuwa akishikiliwa kinyuma cha sheria gerezani nchini Ubelgiji amerejea Tehran siku ya Ijumaa.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Manowari za Iran zilizozunguka dunia zimeonyesha uwezo wa nchi
May 26, 2023 10:07Khatibu wa Sala ya Ijumaa jijini Tehran amesema: "Oparesheni ya Msafara wa 86 wa Meli za Kivita za Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeonyesha ulimwengu ujuzi na uwezo wa kipekee wa Iran."
-
Matunda ya kisiasa na kiuchumi ya safari ya Rais wa Iran nchini Indonesia
May 26, 2023 08:27Jumatano ya juzi Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alikamilisha safari yake ya siku mbili nchini Indonesia.
-
Iran yaipongeza Afrika kwa maadhimisho ya miaka 60 ya AU
May 26, 2023 06:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameyapongeza mataifa ya Afrika kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 60 ya kuundwa Umoja wa Afrika.
-
Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la IRGC: Hakuna haja ya kuwepo nchi ajinabi katika Ghuba ya Uajemi
May 26, 2023 03:33Kamanda wa kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: Iran na nchi za eneo ni wadhamini wa usalama wa Ghuba ya Uajemi na hakuna haja ya kuwepo nchi ajinabi katika eneo hili.