-
Abdollahian: Iran haiitambui serikali ya sasa ya Afghanistan
May 25, 2023 21:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiutambua mfumo wa serikali unaoongoza hivi sasa nchini Afghanistan.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Ujumbe wa Kuzinduliwa kombora la "Khaiber" ni kudumisha amani
May 25, 2023 03:16Waziri wa Ulinzi wa Iran ameutaja ujumbe wa kuzindua kombola la balistiki la Kiirani klililopewa jina la "Khaiber" kuwa ni kwa ajili ya kusaidia amani na utulivukatika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Raisi: Umoja na mshikamano wa Waislamu ni jambo muhimu, la kimkakati
May 24, 2023 22:29Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja mshikamano, umoja na mfungamano wa Waislamu kuwa ni jambo muhimu na la kistratijia.
-
Kiongozi Muadhamu: Hatua ya kimkakati ya Bunge ya kukabiliana na vikwazo ilizuia mkanganyiko katika suala la nyuklia
May 24, 2023 08:04Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amasema sheria ya kistratijia iliyopitishwa na Bunge la Iran mwaka 2020 ili kukabiliana na vikwazo iliiokoa nchi kutokana na "kuchanganyikiwa katika suala la nyuklia".
-
Umuhimu wa ziara ya rais wa Iran nchini Indonesia
May 24, 2023 06:14Rais Seyed Ebrahim Raisi, wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Jumatatu alitembelea Indonesia, kwa mwaliko rasmi wa rais mwenzake wa Indonesia, Joko Widodo.
-
Iran yasambaratisha mtandao wa kijasusi unaoshirikiana na mashirika ya kijasusi ya kigeni
May 23, 2023 22:32Wizara ya Usalama wa Taifa ya Iran imewakamata wanachama wa mtandao wa kijasusi ambao walikuwa wanajishughulisha na mradi unaoendeshwa na shirika moja la kigeni la kijasusi kupata habari kuhusu Wairani wanaosafiri nje ya nchi.
-
Raisi: Mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Indonesia yatafanyika kwa kutumia sarafu za taifa
May 23, 2023 10:03Rais Ebrahim Raisi amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Indonesia zimeamua kufanya mabadilishano ya kibiashara kwa kutumia sarafu zao za taifa.
-
Umuhimu wa kimkakati wa safari ya karibuni ya kundi la 86 la Jeshi la Wanamaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
May 23, 2023 02:57Kundi la 86 la Wanamaji wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran liirejea nchini karibuni kwa mafanikio makubwa baada ya kuzunguka dunia baharini kwa muda wa miezi 8.
-
Rais wa Iran awasili Jakarta, Indonesia kwa ziara rasmi ya siku mbili
May 22, 2023 23:57Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili Jakarta mji mkuu wa Indonesia kwa ziara rasmi ya siku mbili.
-
Iran yataka kuondolewa vizuizi vinavyokwamisha kufikishwa misaada Yemen
May 22, 2023 23:45Mshauri Mkuu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametaka kuondolewa vizuizi vyote vinavyokwamisha kufikishwa misaada ya kibinadamu kwa wananchi wa Yemen.