-
Safari ya Rais Ebrahim Raisi Jakarta; fursa ya kuimarisha mashirikiano ya Iran na Indonesia
May 22, 2023 10:03Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo ameelekea Jakarta, mji mkuu wa Indonesia akijibu mwaliko wa Rais wa nchi hiyo Joko Widodo al-maarufu Jokowi.
-
Iran yatoa jibu na kulaani tuhuma hewa na zisizo na msingi za taarifa ya viongozi wa G7
May 22, 2023 08:08Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali sehemu za taarifa ya mwisho ya mkutano wa viongozi wa nchi wanachama wa G7 zilizobeba tuhuma zisizo na msingi na za uzushi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Uchumi wa Iran unatazamiwa kustawi kwa asilimia 8%
May 22, 2023 03:17Iran imejiwekea lengo la kufikia kiwango cha wastani cha ukuaji wa uchumi cha asilimia 8 kati ya 2023 na 2028 kama sehemu ya mpango mpya wa mustakabali uliozinduliwa na serikali.
-
Rais wa Iran ahimiza hatua za kivitendo kuimarisha uhusiano na Waislamu, mataifa jirani
May 22, 2023 00:16Rais Ebrahim Raisi wa Iran ameihimiza serikali kujihusisha kikamilifu zaidi katika hatua za kivitendo za kuboresha uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Kiislamu na jirani.
-
Vigezo vya maslahi ya nchi katika sera ya kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
May 21, 2023 07:19Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kikao na maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza juu ya kujiepusha na diplomasia ya kuomba omba na pia ulazima wa maingiliano ya busara na yanayozingatia maslahi ya zama sambamba na kudumisha misingi ya mfumo wa Kiislamu.
-
Iran yajibu madai hewa yaliyomo kwenye maazimio ya mkutano wa Jeddah wa Arab League
May 21, 2023 03:30Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, amejibu tuhuma na madai hewa yaliyomo kwenye baadhi ya maazimio yaliyopitishwa na kikao cha 32 cha wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, kwa kueleza masikitiko makubwa aliyonayo kwa kutolewa thuma hizo na kubainisha kwamba, kutolewa madai hayo na Arab League ni kupita tena katika njia ya mkwamo ya huko nyuma.
-
Kiongozi Muadhamu: Maadui wamekamia kuzusha matatizo baina ya Iran na majirani zake
May 20, 2023 07:42Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amegusia mpaka mrefu uliopo baina ya Iran na majirani zake kadhaa na kusema kuwa, maadui wamekania kuzusha matatizo katika uhusiano wa Tehran na majirani zake, hivyo lazima tuwe macho na tusiruhusu kufanikiwa siasa zao hizo.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Mafanikio ya Iran ndiyo sababu kuu ya vita mseto na mashinikizo ya maadui
May 19, 2023 07:01Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran aliyataja mafanikio ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ndio sababu kuu ya vita mseto na mashinikizo ya pande zote ya maadui.
-
Iran yampongeza Guterrez kwa kuunga mkono mazungumzo ya kikanda
May 19, 2023 01:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wamefanya mazungumzo kuhusu matukio ya kikanda na kimataifa.
-
Iran yalaani tuhuma zisizo na msingi na za udanganyifu zinazotolewa na nchi za G7
May 18, 2023 08:02Iran imelaani vikali tuhuma zilizotolewa na mawaziri wa fedha wa Kundi la Mataifa Saba yaliyoendelea kiuchumi (G7) na imewataka kukomesha ushiriki wao katika vikwazo haramu vya Marekani badala ya kutoa madai "yasiyo na msingi" dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.