-
Kuwasili nchini Iran kwa ndege za kivita aina ya Sukhoi 35, mapema mwaka ujao
Jan 15, 2023 03:36Mjumbe wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ameashiria kuwasili nchini mapema mwaka ujao wa Kiirani unaoanza Machi 21, ndege za kivita aina ya Sukhoi 35.
-
Iran yalaani mauaji ya Mmarekani mweusi yaliyofanywa na polisi Los Angeles
Jan 14, 2023 23:59Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali mauaji ya kikatili ya raia wa Marekani mwenye asili ya Afrika, yaliyofanywa na polisi ya nchi hiyo akisisitiza kuwa, Washington inapaswa kubebeshwa dhima ya wimbi la ukatili dhidi ya Wamarekani weusi.
-
Abdollahian: Iran itaendelea kushirikiana na serikali halali ya Syria
Jan 14, 2023 09:33Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran itaendelea kushirikiana na serikali halali ya Syria.
-
Iran yamyonga jasusi wa shirika la kijasusi la MI6 la Uingereza
Jan 14, 2023 04:05Ali Reza Akbari, jasusi wa shirika la kijasusi la Uingereza amenyongwa leo nchini Iran.
-
Mahesabu mabovu ya maadui kuhusu nguvu za irada na azma ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Jan 13, 2023 10:48Maadui wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran walitumia uwezo na nguvu zao zote katika machafuko ya hivi karibu kujaribu kutoa pigo kwa Iran ya Kiislamu, lakini kama ilivyojiri kwa miaka ya huko nyuma, njama zao za mara hii pia zimesambaratika na kwa mara nyingine umoja na mshikamano wa wananchi pamoja na nguvu na uimara wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umefelisha njama hizo.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Visiwa vitatu vitabaki kuwa vya Iran milele
Jan 13, 2023 08:08Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema, visiwa vitatu vitabaki kuwa vya Iran milele na hakuna mtu yeyote aliye na dhamira ya kuingiza mkono wake humo, kwani hataweza kufanya chochote, kama ambavyo hajaweza kufanya hivyo hadi sasa.
-
Pongezi za kheri na fanaka kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa Bibi Fatima az- Zahra (SA)
Jan 13, 2023 04:24Leo Ijumaa tarehe 20 Jumadi al-Thani mwaka 1444 Hijiria, sawa na Januari 13, 2023, ni kumbukumbu ya siku iliyojaa baraka ya kuzaliwa Mtukufu bi Fatima Zahraa (S.A) binti kipenzi cha Bwana Mtume Muhammad Mustafa (SAW) na mke wa Amirul Muuminin Ali bin Abi Talib (A.S) Imam wa kwanza wa Waislamu wa Kishia duniani.
-
Amir- Abdollahian: Dunia inakumbwa na migogoro ya matabaka mengi na tata
Jan 13, 2023 04:06Akizungumza mkutano kwa njia ya mtandao wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa "Sauti ya Kusini",Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameeleza mitazamo na rai za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na masuala muhimu ya kimataifa na nafasi yenye taathira ya nchi za Kusini katika uga wa kimataifa.
-
Kiongozi Muadhamu: Mpango jumla wa adui umefeli na kugonga mwamba
Jan 12, 2023 09:15Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mpango jumla wa adui umegonga mwamba.
-
Mpango wa Kikosi cha Wanamaji cha Kimkakati cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kuwepo katika maji ya kimataifa
Jan 12, 2023 05:34Admeri Shahram Irani, Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi amesema: "leo kutumia fursa za bahari ni jambo lenye manufaa ya kijiopolitiki kwetu sisi; na wale wasio na uwezo wa kufanya hivyo wanashindwa kupumua kijiopolitiki".