-
Mpango wa Kikosi cha Wanamaji cha Kimkakati cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kuwepo katika maji ya kimataifa
Jan 12, 2023 05:34Admeri Shahram Irani, Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi amesema: "leo kutumia fursa za bahari ni jambo lenye manufaa ya kijiopolitiki kwetu sisi; na wale wasio na uwezo wa kufanya hivyo wanashindwa kupumua kijiopolitiki".
-
Iran imejitosheleza katika uwanja wa teknolojia ya nyuklia
Jan 12, 2023 04:21Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran ametangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejitosheleza katika uga wa teknolojia ya nyuklia.
-
Iran yatangaza kuwa tayari kusaidia kumaliza vita vya Ukraine
Jan 12, 2023 04:14Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amhakikishia mwenzake wa Russia Vladimir Putin kuhusu utayarifu wa Iran kuchukua jukumu chanya la mpatanishi katika kumaliza vita vilivyodumu kwa miezi 11 kati ya Russia na Ukraine.
-
Rais wa Iran: Adui ameshindwa katika vita vya kisaikolojia dhidi ya Iran
Jan 12, 2023 01:05Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria njama na vita vya kisaikolojia vya pande zote vya adui dhidi ya watu wa Iran na kusema: Pamoja na fitna zote hizo, leo taifa la Iran linajivunia kuwa adui ameshindwa.
-
Hassan Qomi: Iran inashirikiana na serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan
Jan 12, 2023 00:47Mjumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Masuala ya Afghanistan ameeleza kuwa: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inashirikiana na serikaliya muda ya Taliban katika nyanja mbalimbali ikiwemo nyanja ya kiuchumi kwa kuzingatia siasa za kuwasaidia wananchi wa Afghanistan.
-
Iran yamuita balozi wa Iraq kulalamikia utumiaji wa neno bandia la Ghuba ya Uajemi
Jan 11, 2023 08:01Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita balozi wa Iraq mjini Tehran, kulalamikia kitendo cha mamlaka za Baghdad kutumia neno bandia la 'Ghuba ya Kiarabu' badala ya 'Ghuba ya Uajemi' katika mashindano ya kandanda ya nchi za Kiarabu, yanayoendelea katika mji bandari wa Basra, kusini mwa Iraq.
-
Meja Jenerali Salami: Adui analenga kuvuruga utulivu wa Waislamu kwa kuvunjia heshima matukufu yao
Jan 10, 2023 23:48Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), akizungumzia hatua ya kudhalilisha ya chapisho la Kifaransa la Charlie Hebdo, alisema kuwa adui sasa analenga kuvunjia heshima matukifu ya Kiislamu ili kuvuruga utulivu wa Waislamu.
-
Kan'ani: Mashinikizo ya juu zaidi ya Marekani dhidi ya Iran yamefeli
Jan 10, 2023 23:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema uadui wa Marekani kwa Jamhuri ya Kiislamu si jambo geni, na kwamba tawala zote za Marekani zimekuwa zikifuata sera ya "mashinikizo ya juu" dhidi ya Iran.
-
Amir- Abdollahian aunga mkono uwepo wa wanawake wanadiplomasia katika nyadhifa za uongozi
Jan 10, 2023 08:22Hossein Amir- Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amebainisha wazi mtazamo wa chombo hicho cha diplomasia cha nchi kuhusu wanawake kuhudumu katika wizara hiyo, na kusisitiza mtazamo wa wizara hiyo katika kusaidia na kuwezesha uwepo wa ufanisi zaidi wa wanadiplomasia wa kike katika nyadhifa za uongozi ndani na nje ya nchi. • Feedback
-
Kukamatwa majasusi 13 wa Mossad nchini Iran
Jan 10, 2023 08:05Wizara ya Intelijensia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imegundua timu 6 za operesheni za kijasusi za shirika la utawala haramu wa Israel Mossad, na kuwakamata mahasusi 13 wa shirika hilo la kijasusi na kigaidi.