-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; lengo la fujo lilikuwa ni kusambaratisha nguvu za nchi na si kuondoa udhaifu
Jan 10, 2023 07:38Machafuko yaliyozuka hivi karibuni nchini Iran kwa kisingizo cha kifo cha Mahsa Amini, yalitumiwa na maadui ajinabi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama fursa ya kuingilia masuala ya ndani ya taifa hili na wakati huo huo kuchochea zaidi moto wa fujo na vurugu zilizokuwa zimeanzisha na watu wachache waliohadaiwa.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Lengo la wafanyafujo lilikuwa ni kuharibu nguvu za nchi na si kuondoa udhaifu
Jan 09, 2023 08:37Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameyataja matukio ya mabadiliko ya historia kuwa yana uzoefu mkubwa wa kujifunza au yanaashiria sunna ya Mwenyezi Mungu.
-
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Kitendo cha Jarida la Ufaransa ni mfano wa wazi wa matamshi ya chuki
Jan 09, 2023 08:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekitaja kitendo cha jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo kuwa ni mfano wa wazi wa matamshi ya chuki na udhalilishaji wa thamani za wengine.
-
Iran kuwa mwenyeji wa nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS)
Jan 09, 2023 07:20Tehran karibuni hivi inatazamiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa kwanza baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS).
-
Mpango wa miaka 10 wa maendeleo ya anga za mbali; kuibadilisha Iran kuwa kitovu cha anga za mbali katika eneo
Jan 09, 2023 04:51Shirika la anga za mbali la Iran limefanya kikao chake cha kwanza rasmi cha utekelezaji wa mpango wa miaka kumi ya anga za mbali na hivyo kuanza kivitendo utekelezaji wa mpango huo wa kimkakati.
-
Rais Ebrahim Raisi: Wamagharibi waliingia Afrika kwa ajili ya kukoloni na kupora utajiri wa Waafrika
Jan 09, 2023 00:46Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, madola ya Magharibi yaliingia barani Afrika kwa ajili ya kukoloni na kupora maliasili na utajiri wa Waafrika.
-
Jenerali Salami: Hakuna shaka tutalipiza kisasi cha mauaji ya Shahidi Soleimani
Jan 09, 2023 00:40Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu alivunja na kusambaratisha njama za maadui wa taifa hili, na kwamba wahusika wa mauaji yake wanapaswa kufahamu kuwa lazima Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itachukua hatua kujibu kitendo cha kigaidi cha kumuua shahidi kamanda huyo.
-
Kan'ani Chafi: Ufaransa haina haki ya kuwatusi wengine kwa kisingizio cha uhuru wa kusema
Jan 08, 2023 08:40Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria kitendo cha jarida la Kifaransa la Charlie Hebdo cha kumvujia heshima Ayatullah Ali Khamenei Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiisamu na madai ya uhurui wa kujieleza na kubainisha kwamba, Ufaransa haina haki ya kuyatrusi mataifa mengine na wafuasi wa dini za Mwenyezi Mungu.
-
Sheikh Naim Qassim: Hujuma za kihabari na kigaidi za Marekani dhidi ya Iran zimegonga mwamba
Jan 08, 2023 08:37Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, hujuma za kihabari na kigaidi za Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zilizokuwa zikiendeshwa katika fremu ya machafuko yaliyokuwa yameibuka nchini Iran zimesambaratika na kugonga mwamba.
-
Qalibaf: Mkasa wa kuanguka ndege ya Ukraine ungali unatulemea mioyoni mwetu
Jan 08, 2023 03:42Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ameashiria kutimia mwaka wa tatu tangu kujiri ajali ya ndege ya Ukraine na kueleza kuwa mkasa huo wa kuhuzunisha wa kuanguka ndege ya Ukraine ungali unatulemea mioyoni mwetu na kwa wananchi wa Iran kama ilivyokuwa siku ya kwanza.