-
VIDEO: Siku ambayo Iran ilishambulia kwa makombora kambi ya kijeshi ya Marekani huko Ain al-Asad
Jan 08, 2023 03:26Leo tarehe 8 Januari ni siku ambayo Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (Sepah) lilishambulia kwa makombora kambi ya jeshi la Marekani ya "Ain al-Asad" nchini Iraq, shambulio ambalo liliakisiwa sana na vyombo vya habari vya kieneo na kimataifa.
-
Wairani walalamikia ujumbe wa Twitter wa rais wa FIFA
Jan 08, 2023 02:04Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Soka Duniani (FIFA) amekosolewa vikali na watumizi wa mitandao ya kijamii wa Iran kwa kutumia neno bandia wakati wa kutaja Ghuba ya Uajemi.
-
Iran yasisitiza kulipiza kisasi mauaji ya Jenerali Soleimani na kufukuzwa vikosi vya kigaidi vya Marekani
Jan 08, 2023 01:16Mkuu wa Kamandi Kuu ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Iran italipiza kisasi dhidi ya wahusika wa kitendo cha kigaidi cha mauaji ya Luteni Jenerali Soleimani na kusisitiza kuwa "kesi hii itabaki wazi hadi magaidi hao watakapoadhibiwa."
-
Iran yalitaka Baraza la Usalama la UN lilaani jinai, hujuma za Israel dhidi ya al-Aqsa
Jan 07, 2023 07:58Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amelaani vikali kitendo cha Waziri wa Usalama wa Israel mwenye misimamo ya kuchupa mipaka cha kuuvunjia heshima Msikiti mtukufu wa al-Aqsa.
-
Rais wa Mauritania asifu misimamo thabiti ya Iran kwa masuala ya Ulimwengu wa Kiislamu
Jan 07, 2023 04:31Rais Mohamed Ould Ghazouani wa Mauritania amepongeza misimamo thabiti na ya kimsingi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na masuala ya Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Kongamano la kitaaluma la maulamaa wa Ulimwengu wa Kiislamu lafanyika Tanzania
Jan 06, 2023 23:56Kongamano la kitaaluma la wanazuoni wa Ulimwengu wa Kiislamu limefanyika jijini Dar es Salaam kwa kuhudhuriwa na wanafikra kutoka Tanzania na Iran.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Shahidi Soleimani ni moja ya nguzo za thamani zaidi katika jamii ya Iran
Jan 06, 2023 08:05Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesisitiza kwamba, Shahidi Qassem Soleimani ni moja ya nguzo muhimu, zenye thamani na muhimu zaidi za kijamii katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran yazitaka nchi za Kiislamu kuchukua hatua za pamoja kuulinda msikiti wa al-Aqswa
Jan 06, 2023 04:16Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kuweko uratibu na kuchukuliwa hatua za pamoja na mataifa ya Kiislamu kwa ajili ya kuilinda hali ya kihistoria na kisheria ya msikiti mtakatifu wa al-Aqswa.
-
Kumalizika mkutano wa kwanza wa kimataifa wa njia ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani
Jan 06, 2023 01:01Mkutano wa kwanza wa kimataifa wa fikra ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani umemalizika hapa mjini Tehran.
-
Mwandishi wa habari wa Marekani amuenzi Shahidi Kamanda Qassem Soleimani
Jan 05, 2023 22:51Mwandishi wa habari Mmarekani Gilda Morkert, ameandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Twitter kwa mnasaba wa kuadhimisha mwaka wa tatu tangu alipouawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, akizienzi juhudi za shujaa huyo wa mapambano dhidi ya ugaidi.