-
Shekhe Mkuu wa Al Azhar aungwa mkono kwa kuitisha mazungumzo baina ya Sunni na Shia
Nov 07, 2022 23:01Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu (WFPIST) imekaribisha wito wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar wa kuanzisha mazungumzo kati ya Waislamu wa madhehebu za Shia na Sunni.
-
Faili la sauti lililovuja la mwandishi wa BBC: Lengo la machafuko ni kuigawa Iran
Nov 07, 2022 04:08Faili la sauti lililovuja la mwandishi wa shirika la utangazaji la Uingereza BBC limefichua wazi jinsi Magharibi na vyombo vyao vya habari zinavyotekeleza njama ya kuigawa Iran.
-
Iran yazindua makombora mapya ya Bavar 373 na Sayyad B4
Nov 06, 2022 06:53Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezindua mfumo mpya wa makombora ya kujihami ya masafa marefu ya Bavar (Kujiamini) 373 na pia imefanyia majaribio kombora jipya la Sayyyad B4 leo Jumapili.
-
Iran na Zimbabwe zatathmini njia za kuimarisha uhusiano wao
Nov 06, 2022 04:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Zimbabwe hapa mjini Tehran, na kujadili mikakati na njia za kupanua na kuboresha uhusiano wa pande mbili wa nchi hizi mbili.
-
Iran yazindua roketi la 'Qaem-100' la kubeba satalaiti katika anga za mbali
Nov 06, 2022 03:55Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limezindua kwa mafanikio roketi la kubebea satalaiti la Qaem-100 katika anga za mbali.
-
Amir Abdollahian: Israel ina matatizo chungu nzima ya kiuchumi na kisiasa
Nov 05, 2022 22:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo yake na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa serikali ya Palestina kwamba utawala wa Kizayuni hivi sasa una matatizo chungu nzima ya kiuchumi na kisiasa.
-
Iran: Ujumbe wa Kikao cha Hati ya UN ni kulaani vikwazo dhidi ya nchi zenye misimamo huru
Nov 05, 2022 09:01Waziri wa mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, lengo la kikao cha kundi la marafiki wa kutetea Hati ya Umoja wa Mataifa ni kutuma ujumbe mzito katika muktadha wa kulaani misimamo ya upande mmoja na ya kuziwekea vikwazo nchi zenye misimamo huru.
-
Jibu la Rais wa Iran kwa bwabwaja na njozi za Biden
Nov 05, 2022 07:57Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika marasimu ya kukumbuka tarehe 13 Aban ambayo inaadhimishwa hapa nchini kama Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Uistikbari Duniani kwamba: Marekani ina nafasi ya kwanza katika vita na umwagaji damu na inaangamiza na kuharibu maslahi ya mataifa mengine ili kujidhaminia maslahi yake. Rais wa Iran ameeleza hayo katika radiamali yake kwa matamshi ya Joe Biden ya kuuunga mkono ghasia na fujo nchini Iran.
-
Iran yakosoa ukimya wa Baraza la Usalama la UN baada ya shambulio la kigaidi la Shiraz
Nov 05, 2022 04:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian ametuma barua kwa Umoja wa Mataifa, akilaani "ukimya usioweza kuwa na udhuru" wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kufuatia shambulio la kigaidi la Oktoba 26 Shiraz nchini Iran, ambapo waumini 15 waliuawa.
-
Tehran yamlaani Biden kwa madai yake ya 'kuikomboa Iran'
Nov 05, 2022 01:10Tehran imemkosoa vikali Rais wa Marekani Joe Biden kwa matamshi kuhusu kile alichodai kuwa ni ‘kuikomboa Iran’, ikisema Marekani ni mkaliaji mabavu katika historia yake na kamwe haiwezi kuwa mkombozi.