-
Tehran yamlaani Biden kwa madai yake ya 'kuikomboa Iran'
Nov 05, 2022 01:10Tehran imemkosoa vikali Rais wa Marekani Joe Biden kwa matamshi kuhusu kile alichodai kuwa ni ‘kuikomboa Iran’, ikisema Marekani ni mkaliaji mabavu katika historia yake na kamwe haiwezi kuwa mkombozi.
-
Azimio la mwisho la maandamano ya Siku ya Taifa ya Kupambana Ubeberu
Nov 04, 2022 08:08Washiriki katika maandamano ya Siku ya Taifa ya Kupambana na Ubeberu inayosadifiana na leo 4 Novemba, wamesisitiza udharura kuwepo mapambano endelevu dhidi ya njama za kuzusha fitna, ghasia na fujo.
-
Sheikh Kazem Sediqi: Lengo la Marekani ni kuchochea hisia za kikaumu nchini Iran
Nov 04, 2022 08:24Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, lengo la utawala wa Marekani katika fitina na vurugu za hivi karibuni hapa Iran ni kuchochea hisia za kikaumu na kuzusha vita vya ndani katika taifa hili.
-
Raisi: Hakuna jambo linaloweza kifanyika Asia Magharibi bila ya mwafaka wa Iran
Nov 04, 2022 08:09Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini taifa kubwa la Iran liliweka mapambano dhidi ya dhulma na ukoloni katika ajenda yake na kuongeza kuwa: "Hakuna mlingano unaoweza kufikiwa katika kanda ya Magharibi mwa Asia bila ya kupasishwa na Iran."
-
Maandamano ya Yaumu-Llah Aban13 yafanyika kila pembe ya Iran ya Kiislamu
Nov 04, 2022 03:54Maandamano ya Yaumu-Llah Aban 13 inayosadifiana na Novemba 4 yameanza mbele ya Pango la Ujasusi la uliokuwa ubalozi wa Marekani mjini Tehran sambamba na miji mingine 900 nchini kwa kuhudhuriwa na wanafunzi, wanachuo na wananchi wa matabaka mbalimbali.
-
Imam wa msikiti auawa katika shambulio la kigaidi mkoani Sistan na Baluchistan kusini mwa Iran
Nov 04, 2022 03:15Mkuu wa Polisi wa Sistan na Baluchistan ya Iran amesema: Kabla ya Sala ya Magharibi hapo jana Imamu wa msikiti wa Moulay-e-Mottaqian katika mji wa Zahedan, kusini mashariki mwa Iran, aliuawa shahidi kwa kupigwa risasi na magaidi.
-
Iran yatangaza vikwazo dhidi ya shakhsia na taasisi ya Canada
Nov 03, 2022 08:19Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa imeyaweka majina ya shakhsia na taasisi ya Canada kwenye orodha yake ya vikwazo, kwa kuunga mkono ugaidi.
-
Matamshi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu; Marekani imehusika katika machafuko nchini Iran
Nov 03, 2022 03:32Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu jana Jumatano siku mbili kabla ya maadhimisho ya tarehe 13 Aban (4 Novemba 1978) ambayo hapa nchini ni Siku ya Taifa ya Kupambana na Ubeberu wa Kimataifa, alihutubia kikao cha mamia ya wanafunzi, akiitaja siku hiyo kuwa ni kielelezo cha uovu, ukhabithi na dhihirisho la kupata pigo na kushindwa Marekani.
-
Ujumbe wa mazungumzo wa Iran kurudi Vienna karibuni hivi
Nov 03, 2022 03:28Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na mkuu wa timu ya Ira katika mazungumzo ya nyukia amegusia jinsi Marekani inavyoendeleza vikwazo vya kidhulma dhidi ya taifa hili la Kiislamu na kusema kuwa, vikwazo hivyo ni uvunjaji mkubwa sana wa haki za binadamu duniani.
-
Iran yajibu uvumi wa gazeti la Marekani kuhusu kuishambulia Saudia
Nov 02, 2022 23:11Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu uvumi ulioenezwa na gazeti la Marekani la Wall Street Journal lililodai kuwa kuna uwezekano Iran ikashambulia baadhi ya maeneo ya Saudi Arabia na kusema kuwa hayo ni madai chapwa yasiyo na msingi wowote.