-
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yatoa mkono wa taazia kwa serikali na wananchi wa Iraq kufuatia mlipuko wa lori la gesi
Oct 30, 2022 08:39Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe wa rambimbali na kutoa mkono wa pole kwa serikali na wananchi wa Iraq kufuatia vifo vya raia kadhaa wa nchi hiyo walioaga dunia katika mlipuko wa lori la gesi huko Baghdad.
-
Raeisi: Vyuo vikuu vimewavunja moyo maadui kwa kuzalisha sayansi na teknolojia
Oct 30, 2022 08:28Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa vyuo vikuu vya nchi hii vimetoa pigo kwa maadui kwa kuasisi nchi yenye nguvu kupitia uzalishaji wa sayansi na teknolojia na kwamba vyuo vikuu ni jukwaa bora katika uwanja huo.
-
Iran yakosoa misimamo ya Baraza la Usalama la UN kuhusu uhalifu wa Israel
Oct 30, 2022 04:45Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amelikosoa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kusisitiza kuwa: Mwelekeo wa sasa na usio na tija wa Baraza la Usalama la Uumoja huo unaupa moyo na kuuhamasisha utawala wa Kizayuni katika kadhia ya Palestina.
-
Kushindwa kwa mradi wa Marekani wa "kuangamiza Iran"
Oct 29, 2022 23:02Taarifa ya pamoja iliyotolewa na Wizara ya Intelijensia ya Iran na Shirika la Upelelezi la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imeweka wazi nafasi ya Marekani katika machafuko ya hivi karibuni hapa nchini.
-
SEPAH: Wananchi wa Iran daima wamekuwa wakiifedhehesha Marekani
Oct 29, 2022 23:01Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesisitiza kuwa, kwa kujitokeza kwao vilivyo katika kuyalinda Mapinduzi ya Kiislamu; muda wote wananchi wa Iran wamekuwa wakiidhalilisha na kuifedhehesha Marekani na kuthibitisha kivitendo matamshi ya Imam Khomeini MA kuwa Marekani haiwezi kulifanyia taifa la Iran upuuzi wowote.
-
Mashirika ya kijasusi ya kigeni yakiongozwa na CIA yamehusika na ghasia Iran
Oct 29, 2022 08:09Taarifa ya pamoja ya Wizara ya Intelijensia ya Iran na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imesema mashirika ajinabi ya kijasusi yakiongozwa na Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) yamekuwa na mchango mkubwa katika kupanga na kuratibu ghasia na fujo zilizoshuhudiwa hapa nchini kwa wiki kadhaa.
-
Iran yaitaka Ukraine kutoathiriwa na baadhi ya wanasiasa wa Ulaya wenye misimamo mikali
Oct 29, 2022 00:52Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekanusha madai ya kutumika ndege zisizo na rubani za Iran katika vita vya Ukraine na kuitaka nchi hiyo kutoathiriwa na misimamo mikali ya baadhi ya wanasiasa wa Ulaya.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Tutalipiza kisasi cha damu ya mashahidi wa jinai ya Shiraz
Oct 28, 2022 08:10Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amelaani vikali shambulio la kigaidi katika Haram takatifu ya Ahmad bin Musa (as) huko katika mji wa Shiraz na kusisitiza kwamba, taifa hili litalipa kisasi cha damu ya mashahidi waliouawa kinyama na kidhulma katika tukio hilo.
-
Shambulio la kigaidi katika Haram ya Shah Cheragh; mfano mwingine wa mradi wa kuvuruga usalama wa Iran
Oct 28, 2022 04:28Ikiwa ni katika kuendeleza mradi wa maadui wa kuvuruga usalama na kuibua machafuko nchini Iran, siku ya Jumatano idadi kubwa ya wafanyaziara katika Haram takatifu ya Ahmad bin Musa (as) huko katika mji wa Shiraz waliuawa shahidi na wengine wengi kujeruhiwa kufuatia shambulio la kigaidi lililotekelezwa katika haram hiyo.
-
Leo wananchi wa Iran wanafanya maadamano ya nchi nzima kulaani shambulio la kigaidi
Oct 28, 2022 03:03Wananchi wa jiji la Tehran na miji yote ya Iran, leo baada ya Sala za Ijumaa, watafanya maandamano makubwa ya nchi nzima kulaani shambulio la kigaidi lililotokea juzi Jumatano katika Haram Tukufu ya Shah Cheragh ya mjini Shiraz, kusini magharibi mwa Iran. Genge la kigaidi la ISIS limetangaza kuhusika na jinai hiyo.