-
Misri, Oman na Imarati zalaani shambulio la kigaidi katika haram tukufu ya mjini Shiraz, Iran
Oct 27, 2022 23:24Nchi za Oman, Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Misri zimelaani shambulio la kigaidi lililofanyika kwenye haram tukufu ya Shah Cheragh mjini Shiraz, kusini magharibi mwa Iran.
-
Ayatullah Khamenei: Wahalifu waliohusika na jinai ya Shiraz wataadhibiwa
Oct 27, 2022 09:49Kufuatia tukio la kigaidi lililotokea katika Haram ya Hadhrat Ahmad bin Musa (Shah Cheragh) huko Shiraz, Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma salamu za rambirambi kwa familia zilizofiwa akisisitiza kuwa wahalifu waliohusika na jinai hiyo wataadhibiwa.
-
Sisitizo la Iran la kutotumiwa droni zake katika vita vya Ukraine na kuwa tayari kuchunguza madai ya nchi hiyo
Oct 27, 2022 08:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema, Tehran iko tayari kuchunguza madai ya serikali ya Ukraine kuhusu kutumiwa na Russia ndege zisizo na rubani za Iran katika vita vya Ukraine.
-
Raisi: Shambulio la kigaidi dhidi ya Haram Tukufu mjini Shiraz halitapita bila jibu
Oct 27, 2022 04:46Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itatoa jibu kali na la kujutisha kwa wale waliohusika katika shambulio la kigaidi dhidi ya Haram Tukufu ya Shah Cheragh mjini Shiraz, kusini magharibi mwa nchi.
-
Iran yaialika Ukraine kwa mazungumzo kuhusu madai ya 'drone'
Oct 27, 2022 04:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesisitiza kuwa Iran iko tayari kufanya mazungumzo na maafisa na wataalamu wa Ukraine ili kujadili madai ya nchi za Magharibi kuwa eti Iran imeipatia Russia ndege za kivita zisizo na rubani (drone) ambazo zinatumika katika oparesheni ya kijeshi inayoendelea nchini Ukraine.
-
Raisi: Uvurugaji wa maadui hauwezi kutikisa irada ya Iran ya ustawi na ushirikiano
Oct 27, 2022 04:27Rais wa Jamhuri ya Kiislamu amepokoea vitambulisho vya balozi mpya wa Kuwait nchini Iran na kusisitiza kuwa mchakato wa udugu na ustawi wa ushirikiano wa kieneo ni ajenda kuu ya sera za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika eneo na kuongeza kuwa, uvurugaji wa maadui hauwezi kuvuruga mchakato huo.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yaziwekea vikwazo taasisi na shakhsia kadhaa wa EU
Oct 26, 2022 10:12Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeziwekea vikwazo taasisi na shakhsia kadhaa wa Umoja wa Ulaya kutokana na hatua zao za makusudi za kuunga mkono ugaidi na makundi ya kigaidi.
-
Mkutano wa OANA mjini Tehran; fursa ya kuvunja ukiritimba wa vyombo vya habari vya Magharibi
Oct 26, 2022 03:07Mkutano Mkuu wa 18 wa Jumuiya ya Mashirika ya Habari ya Asia-Pasifiki (OANA) umefanyika hapa mjini Tehran tangu Jumatatu iliyopita.
-
Iran: Vikwazo kwa wazalishaji gesi kuwa na matokeo hasi
Oct 25, 2022 23:02Waziri wa Mafuta wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuwa, hatua ya Wamagharibi ya kuziwekea vikwazo nchi zinazozalisha na kuuza nje ya nchi gesi itakuwa na matokeo hasi yasiyoweza kurekebishika.
-
Taasisi na shakhsia kadhaa wa EU wataongezwa kwenye orodha ya vikwazo ya Iran
Oct 25, 2022 10:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amedokeza kuwa karibuni hivi majina ya taasisi na shakhsia kadhaa wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya yataongezwa kwenye orodha ya vikwazo ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.