-
Bunge la Iran halikumpitisha Waziri wa Kazi na Ustawi wa Jamii aliyependekezwa na Rais
Oct 04, 2022 09:33Mohammad Hadi Zahedi Vafa, aliyependekezwa kuwa waziri wa Ushirika, Kazi na Ustawi wa Jamii wa Iran, ameshindwa kupata kura ya kuwa na imani naye ya Wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge).
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu juu ya kuratibiwa kutoka nje fujo na ghasia za Iran
Oct 04, 2022 06:54Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa hotuba muhimu katika hafla ya pamoja ya wanachuo wahitimu wa Vyuo Vikuu vya vikosi vya ulinzi hapa Iran kuhusiana na fujo na ghasi za hivi karibuni hapa nchini zilizoibuka kwa kisingizio cha kifo cha Mahsa Amini.
-
Raisi: Kuwaachia huru wafungwa wa Marekani ni ithibati ya nia njema ya Iran
Oct 04, 2022 04:33Rais wa Iran amesema hatua ya Jamhuri ya Kiislamu ya kuwaachia huru wafungwa wawili wa Marekani wenye asili ya Iran inaonesha wazi nia njema ya taifa hili, na azma yake ya kutatua matatizo kwa njia ya mashauriano.
-
Biashara kati ya Iran na Afrika Mashariki imeongezeka kwa 100%
Oct 04, 2022 04:31Naibu Mkuu wa Shirika la Kustawisha Biashara la Iran amesema miamala ya kibiashara kati ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Afrika Mashariki imeongezeka kwa asilimia 100 katika kipindi cha miezi mitano iliyopita.
-
Abdollahian: Hatua za kuondolewa Iran vikwazo zipo katika mkondo sahihi
Oct 03, 2022 23:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema mazungumzo ya uondoaji vikwazo haramu ilivyowekewa Iran yanaendelea vizuri, na kwamba hatua za kuondolewa vikwazo hivyo zipo katika mkondo sahihi.
-
Jenerali Baqeri: Chokochoko za vitimbakwiri haziwezi kuzuia harakati ya fakhari ya taifa la Iran
Oct 03, 2022 22:50Kamanda wa Komandi Kuu ya majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, chokochoko za baadhi ya vitimbakwiri haziwezi kuzuia kuendelea harakati iliyojaa fakhari ya taifa la Iran.
-
Kan'ani: Iran na Marekani zabadilishana jumbe baina yazo pambizoni mwa Mkutano wa Baraza Kuu la UN
Oct 03, 2022 08:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa jumbe za uwakilishi za Iran na Marekani zilibadilishana jumbe kati yazo pambizoni mwa Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Ghasia na fujo ziliratibiwa na Marekani na utawala ghasibu na bandia wa Kizayuni
Oct 03, 2022 08:47Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza katika hafla ya pamoja ya wanachuo wahitimu wa Vyuo Vikuu vya vikosi vya ulinzi hapa nchini kwamba ghasia na machafuko yaliyoshuhudiwa hivi karibuni hapa nchini yaliratibiwa na Marekani na utawala ghasibu na bandia wa Kizayuni na kusaidiwa kwa hali na mali na mabwana zao na baadhi ya wasaliti raia wa Iran wanaoishi nje ya nchi.
-
Raisi: Njama za maadui za kuitenga Iran zimefeli
Oct 02, 2022 10:18Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia njama za karibuni za maadui za kutaka kutoa pigo kwa nchi hii na kueleza kuwa: Njama za maadui za kutaka Iran itengwe zimegonga mwamba.
-
Mkutano wa Kimataifa wa Mshikamano na Watoto na Vijana wa Kipalestina wafanyika Tehran
Oct 02, 2022 08:34Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Mshikamano na Watoto na Vijana wa Kipalestina umefanyika mjini Tehran.