-
Iran, Russia na China kushiriki katika mazoezi ya kijeshi Amerika ya Kusini
Jul 07, 2022 22:21Iran, Russia na China zinapanga kushiriki katika mazoezi ya kijeshi yatakayoandaliwa na Venezuela ili kuonyesho nguvu zao kwa Marekani.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar nchini Iran wiki moja baada ya mazungumzo ya Doha
Jul 07, 2022 06:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Jumatano alifika mjini Tehran na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Shamkhani: Tumeingia katika mazungumzo ya kuondoa vikwazo ili kufikia makubaliano imara, endelevu na ya kuaminika
Jul 07, 2022 03:50Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar hapa Tehran kuwa Iran imeingia katika mazungumzo ya kuondoa vikwazo ili kufikia makubaliano imara, endelevu na ya kuaminika.
-
Amir Abdullahian: Mazungumzo ya Qatar yalikuwa kwa ajili ya kupata dhamana ya kiuchumi kutoka kwa Marekani
Jul 06, 2022 23:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mkutano na waandishi wa habari akiwa pamoja na waziri mwenzake wa Qatar hapa Tehran kwamba mazungumzo ya Qatar yalikuwa ni kwa ajili ya Iran kupata hakikisho la kudhaminiwa maslahi yake ya kiuchumi kutoka kwa Marekani. Iran haikuwa na matakwa ya ziada nje ya yale yanayohusiana na mapatano ya JCPOA.
-
Rais wa Iran: Kuimarisha mabadilishano ya kibiashara na nchi za eneo ni dharura
Jul 06, 2022 09:04Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuna udharura wa kutumia fursa zilizojitokeza kuimarisha uhususiano wa kibiashara na nchi za eneo.
-
Iran iko tayari kuipa Mali uzoefu katika sayansi, teknolojia na utafiti
Jul 06, 2022 01:44Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema iko tayari kuipa Mali tajriba na uzoefu wake katika nyuga za sayansi, teknolojia na utafiti.
-
Amir-Abdollahian: Mazungumzo yenye tija yanahitaji Marekani kuwa na nia ya dhati na kuwa tayari kubadilika
Jul 04, 2022 22:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema, mazungumzo yenye tija yanategemea upande wa Marekani utakavyokuwa na nia ya dhati, ubunifu na kuwa tayari kubadilika.
-
Raisi: Historia haitasahau kamwe uhalifu wa Marekani dhidi ya taifa la Vietnam
Jul 04, 2022 09:40Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika hafla ya kupokea hati za utambulisho za balozi mpya wa Vietnam mjini Tehran kwamba historia haitasahau kamwe jinai zilizofanywa na Marekani dhidi ya taifa la Vietnam.
-
Gharibabadi :Marekani haina ustahiki wa kuzungumzia haki za binadamu
Jul 04, 2022 03:21Afisa mwandamizi wa haki za binadamu nchini Iran amesema Marekani haina ustahiki wa kuzungumzia suala la haki za binadamu kutokana na namna inavyokiuka kwa wingi haki za binadmau duniani.
-
Amir-Abdollahian: Utumizi wa mabomu ya kemikali Sardasht ulikuwa kilelele cha udhalimu wa Saddam
Jul 04, 2022 02:34Hossein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelitaja shambulio la mabomu ya kemikali dhidi ya mji wa Sardasht kuwa ni kilele cha dhulma ya utawala wa Saddam katika vita vya kulazimishwa dhidi ya Iran.