-
Iran: IAEA itajipotezea itibari zaidi kufuatia safari ya Grossi Israel
Jun 04, 2022 03:07Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa vikali hatua ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) kutembelea Tel Aviv wakati huu wa kukaribia kikao cha bodi ya magavana ya shirika hilo na kuonya kuwa safari hiyo itapelekea wakala huo wa Umoja wa Mataifa kupoteza itibari zaidi.
-
'Sira na miongozo ya Imam Khomeini ni hati ya kiistratijia ya kupambana na ubeberu'
Jun 04, 2022 03:01Komandi Kuu ya Majeshi ya Iran imetoa tamko na kusisitiza kuwa, sira na miongozo ya Imam Khomeini MA inabidi iwe hati na ajenda ya kiistratijia ya kupambana na ubeberu na iwe ni taa ya kulimulikia njia taifa na viongozi wa Iran na mataifa mengine ya Waislamu na ya wanyonge duniani.
-
Rambirambi kwa mnasa wa kukumbuka siku ya kuaga dunia Imam Khomeini (MA) muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Jun 03, 2022 23:45Leo 14 Khordad kwa mujibu wa Kalenda ya Hijria Shamsia sawa na tarehe 4 Mfunguo Pili Dhul-Qaadah mwaka 1443 Hijria, mwafaka na tarehe 4 Juni 2022 Miladia ni siku ya kukumbuka kuaga daunia Imam Khomeini -Mwenyezi Mungu Amrehemu- Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Raisi: Mapambano dhidi ya Uistikbari na udhalimu ni maudhui asili ya Fikra za Imam Khomeini MA
Jun 03, 2022 23:44Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ijumaa usiku alihutubu katika hafla ya mkesha wa mwaka wa 33 tokea alipoaga dunia Imam Khomeini (MA) muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iliyofanyika katika Haram Takatifu ya mtukufu huyo na kusema: "Mapambano dhidi ya uistikbari na udhalimu ni kati ya maudhui asili za Fikra za Imam Khomeini MA."
-
Onyo la Iran kuhusu hatua zisizo sahihi katika Bodi ya Magavana wa IAEA
Jun 03, 2022 23:39Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: “Mpango wa Nyuklia wa Iran ni wa amani kikamilifu na hivyo hatua yoyote isiyo sahihi itakayochukuliwa na Bodi ya Magavana ya Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) itakabiliwa na jibu muafaka la Iran.”
-
Baqeri: Wazayuni wanaweza kuwaza ndotoni tu kuishambulia kijeshi Iran
Jun 03, 2022 23:38Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema: Wazayuni wanaweza kuwaza ndotoni tu kuishambulia kijeshi Iran; na wakati wowote ule watakapoota ndoto hiyo hawataweza katu kuamka tena.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Sira ya Imam Khomeini ni tafsiri ya wazi ya falsafa ya siasa katika Uislamu
Jun 03, 2022 08:12Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema, miongozo na mienendo ya kisiasa ya Imam Khomeini (MA) ni tafsiri wadhiha na ya wazi ya falsafa ya siasa katika Uislamu.
-
Rais Raisi: Kufikia sifuri vifo vya wagonjwa wa corona nchini Iran kumechangiwa na uwezo wa ndani ya nchi
Jun 03, 2022 06:18Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kufikia sifu idadi ya watu wanaofariki dunia kwa corona humu nchini, mbali na taufiki ya Mwenyezi Mungu, kumechangiwa pia na uwezo wa ndani ya nchi.
-
Tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Iran: Saudia haitaki uhusiano mwema wa Iran na nchi za Ghuba ya Uajemi
Jun 03, 2022 02:50Mawaziri wa Nchi wa Masuala ya Kigeni wa nchi za Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi mnamo Juni Mosi kwa mara nyingine walitoa tuhuma nne dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Abdollahian: Iran iko tayari kuipatia Kenya misaada ya kibinadamu zikiwemo chanjo cha Covid-19
Jun 03, 2022 02:47Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kuIpatia Kenya misaada ya kibinadamu katika uga wa tiba zikiwemo chanjo za Covid-19.