-
Iran yakosoa kimya na kigugumizi cha Baraza la Usalama mbele ya jinai za Wazayuni
Jun 03, 2022 02:46Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amekosoa vikali kimya cha Baraza la Usalama mbele ya jinai za kuendelea zinazofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
Iran: Uingiliaji wa kisiasa katika masuala ya kiufundi ya IAEA ni jambo lisilokubalika kabisa
Jun 02, 2022 22:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezungumzia udharura wa kukomeshwa tabia ya kuzusha mambo yasiyoendana na mazungumzo ya nyuklia na kusisitiza kuwa, Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA usikubali kuingizwa siasa katika masuala ya kiufundi.
-
Kufikishwa salamu za maneno za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Papa Francis
Jun 02, 2022 07:25Ayatullah Alireza Arafi Mkurugenzi wa Vyuo vya Kidini, Hawza nchini Iran amemfikishia Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani salamu za maneno za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, alipokutana na kuzungumza na Papa mjini Vatican.
-
Rais wa Iran: Zichukuliwe hatua kuzuia kupenya Israel katika eneo la Asia Magharibi
Jun 02, 2022 05:42Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuna haja ya kuchukuliwa hatua madhubuti ili kuzuia kupenya utawala haramu wa Israel katika eneo la Asia Magharibi.
-
Wanaharakati wa Palestina watangaza upya utiifu wao kwa malengo ya Imam Khomeini MA
Jun 02, 2022 02:40Wanaharakati na wakuu wa mashirika ya wananchi ya kutetea taifa la Palestina hapa Iran wamefika katika Haram Takatifu ya Imam Khomeini-Mwenyezi Mungu Amrehemu- na kutangaza upya utiifu wao kwa malengo yake matukufu na pia kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kadhia ya kuunga mkono taifa la Palestina.
-
Iran yazionya Marekani na nchi tatu za Ulaya
Jun 01, 2022 22:53Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amezihutubu nchi tatu za Ulaya, yaani Ujerumani, Uingereza na Ufaransa pamoja na Marekani na kusema: "Mnaweza kufuata mkondo wa udiplomasia au muende kinyume chake. Sisi tuko tayari kwa machaguo hayo mawili."
-
Iran yajibu matamshi ya Ufaransa, Ujerumani kuhusu meli za mafuta za Ugiriki
Jun 01, 2022 05:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa taarifa na kukosoa taarifa zinazofanana za Ujerumani na Ufaransa kuhusu meli za mafuta za Ugiriki.
-
Rais Raisi: Kuipa umuhimu Afrika ni moja ya mihimili mikuu ya sera za nje za Iran
Jun 01, 2022 03:37Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuipa umuhimu Afrika ni moja ya mihimili mikuu ya sera za nje za Tehran.
-
Balozi: Safari ya Rais wa Iran nchini Afrika Kusini itaimarisha uhusiano wa nchi mbili
May 31, 2022 21:01Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran amesema safari tarajiwa ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Afrika Kusini katika mwezi wa Oktoba au Novemba mwaka huu itakuwa fursa ya kuimarisha uhusiano wa nchi mbili.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu juu ya wasiwasi wa pamoja wa Iran na Tajikistan kuhusiana na Afghanistan
May 31, 2022 08:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria mambo mengi ya kihistoria, kidini, kiutamaduni na kilugha yanayoyaunganisha mataifa mawili ya Iran na Tajikistan na kusema kuwa, nchi hizi mbili ni sawa na ndugu wa familia moja.