-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu juu ya wasiwasi wa pamoja wa Iran na Tajikistan kuhusiana na Afghanistan
May 31, 2022 08:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria mambo mengi ya kihistoria, kidini, kiutamaduni na kilugha yanayoyaunganisha mataifa mawili ya Iran na Tajikistan na kusema kuwa, nchi hizi mbili ni sawa na ndugu wa familia moja.
-
Khatibzadeh: Marekani haijatoa majibu yaliyotarajiwa
May 31, 2022 07:49Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Tehran imeshawasilisha rai na mapendekezo yake katika mabadilishano ya jumbe baina yake na Marekani na akaeleza kwamba, Washington haijatoa majibu yaliyotarajiwa.
-
Iran yatuma ujumbe wa watu sita katika ubalozi wake mdogo nchini Saudia
May 31, 2022 03:08Iran imetuma wajumbe wake sita wa ubalozi mdogo kutoka Wizara ya Mambo ya Nje kwa ajili ya kwenda kutoa huduma kwa raia wa Iran wakati wa ibada za Hija mwaka huu.
-
Kiongozi Muadhamu: Kutegemea uwezo wa ndani ndiyo silaha ya kusambaratisha vikwazo
May 30, 2022 22:45Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, vikwazo ndiyo silaha inayotumiwa na madola ya kibeberu dhidi ya nchi nyingine na kwamba kutengemea uwezo wa ndani ya nchi ndiyo silaha ya kusambaratisha vikwazo hivyo.
-
Kamanda Mkuu wa IRGC: Tutalipiza kisasi cha Shahidi Sayyad Khodaei kwa utawala wa Kizayuni
May 30, 2022 22:43Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Hossein Salami amesema: "Tutalipiza kisasi kwa utawala wa Kizayuni cha damu ya Shahidi Hassan Sayyad Khodaei."
-
Kituo cha Kistratijia cha 313; Nembo ya Uwezo wa Kijeshi wa Iran
May 30, 2022 22:00Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Meja Jenerali Mohammad Baqeri siku ya Jumamosi alikagua kituo kipya cha siri kilicho chini ya ardhi cha ndege zisizo na rubani cha Jeshi la Jamhuri Kiislamu ya Iran. Akiwa hapo alijioenea uwezo mkubwa wa ndege za kivita zisizo na rubani za jeshi hilo zilizoko katika kituo hicho cha siri.
-
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Tajikistan zatiliana saini hati 17 za ushirikiano
May 30, 2022 05:49Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Tajikistan zimetiliana saini hati 17 za ushirikiano katika nyuga tofauti zikiwemo za kisiasa, kiuchumi, kibiashara na kiutalii.
-
Qatar yafurahishwa na ushirikiano wake wa baharini na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
May 30, 2022 02:00Mkuu wa Shirika la Ustawi na Mamlaka za Bandari la Qatar ameonana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari na Usafiri wa Baharini la Iran na kusema kuwa Doha inafurahishwa na ushirikiano mzuri uliopo baina yake Qatar na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran yalaani vikali kuvunjiwa heshima Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
May 30, 2022 00:09Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhurii ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali hatua ya Wazayuni ya kuuvunjia heshima msikiti mtakatifu wa al-Aqswa ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Vikwazo vya upande mmoja vya Marekani; sababu ya kuongezeka maafa katika sekta ya afya
May 29, 2022 22:41Waziri wa Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu wa Iran amesema kuwa, vikwazo vya kibenki na kifedha vya upande mmoja vya Marekani vimepelekea kuongezeka hasara na maafa katika sekta ya afya ulimwenguni.