-
Wabunge wa Iran: Timu ya mazungumzo isiafiki mapatano yoyote bila ya kupewa dhamana
Feb 20, 2022 21:43Wabunge zaidi ya 250 wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) jana Jumapili waliwaslisha taarifa yao kwa Rais Ebrahim Raisi wakisema kwamba, timu ya mazungumzo ya Iran isisaini mapatano yoyote katika mazungumzo ya Vienna bila ya kupewa dhamana.
-
Rais Ebrahim Raisi: Iran ina azma ya kupanua uhusiano wake na Serbia
Feb 20, 2022 09:58Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Serbia wamesisitiza hamu na shauku kubwa ilizonazo nchi zao ya kupanua uhusiano baina yao katika nyanja mbalimbali
-
Sheikh Naim Qassim: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran lilikuwa tukio kubwa kabisa la karne
Feb 20, 2022 09:58Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamuu ya Iran lilikuwa tukio kubwa kabisa la karne.
-
Amir Abdollahian afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Lebanon, Katibu Mkuu wa UN na wawakilishi wa nchi mbalimbali mjini Munich
Feb 20, 2022 09:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Lebanon pambizoni mwa Mkutano wa 58 wa Usalama wa Munich.
-
Mazungumzo ya Marais wa Iran na Ufaransa sanjari na hatua muhimu za mazungumzo ya Vienna
Feb 20, 2022 08:49Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo yake ya simu na Rais wa Ufaransa kwamba suala kuu litakalosaidia kufikiwa mapatano mjini Vienna ni kuhakikisha maslahi ya wananchi wa Iran yanalindwa hususan kuondolewa vikwazo, kupewa dhamana madhubuti na kufungwa mafaili ya madai ya kisiasa.
-
Iran yaitaka dunia ikomeshe jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Feb 20, 2022 04:33Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za haraka za kuuzuia utawala wa Kizayuni wa Israel kuendelea kufanya jinai na uhalifu dhidi ya Wapalestina.
-
Raisi: Makubaliano yoyote ya Vienna sharti yajumuishe kuondolewa vikwazo Iran
Feb 20, 2022 00:18Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mapatano yoyote yatakayofikiwa kwenye mazungumzo ya Vienna yenye lengo la kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA lazima yajumuishe suala la kuondolewa vikwazo taifa la Iran, sanjari na kupasishwa kwa kipengee kuhusu dhamana yenye itibari, na vile vile kujizuia na masuala ya kisiasa na kuibua tuhuma zisizo na msingi.
-
Qatar yasisitiza azma yake ya kustawisha zaidi uhusiano na Iran
Feb 19, 2022 08:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema nchi yake iko tayari kustawisha zaidi uhusiano wa pande mbili na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; nishati ya nyuklia ni kwa ajili ya kuhudumia maendeleo ya kisayansi ya Iran
Feb 18, 2022 13:19Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa dunia ya leo inazidi kutegemea nishati ya nyuklia siku baada ya nyingine na kwamba Iran pia itahitajia pakubwa nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Iran ni miongoni mwa walinzi wa amani ya eneo na Ulimwengu wa Kiislamu
Feb 18, 2022 09:01Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni miongoni mwa nchi chache zenye nguvu za kiulinzi za kudhamini amani na usalama wa eneo na wa Ulimwengu wa Kiislamu.