-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kuhudhuria Mkutano wa Usalama wa Munich
Feb 18, 2022 04:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameondoka Tehran leo Ijumaa na kuelekea mjini Munich Ujerumani kuhudhuria Mkutano wa 58 wa Usalama Duniani.
-
Iran yajibu ripoti iliyopotoshwa kuhusu mazungumzo ya JCPOA
Feb 17, 2022 23:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, usiku wa kuamkia leo Ijumaa amejibu ripoti iliyopotoshwa kuhusu mazungumzo ya Vienna ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kusisitiza kuwa, makubaliano ya mwisho yatakuwa tofauti kabisa na uvumi unaoenezwa kuhusu kurejea Marekani kwenye mapatano hayo.
-
Kiongozi Muadhamu: Muqawama unaokua Asia Magharibi umesambaratisha majigambo ya ubeberu
Feb 17, 2022 09:58Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, muqawama unaokua na kuzidi kupata nguvu katika eneo la Asia Magharibi umesambaratisha kiburi na majigambo ya ubeberu.
-
Bagheri Kani: Tunakaribuia zaidi kufikia mapatano ya nyuklia Vienna
Feb 17, 2022 04:33Kiongozi wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna amesema kuwa, pande mbili zinakaribia kufikia mapatano baada ya wiki kadhaa ya mazungumzo ya kina.
-
Iran yafanyia majaribio yaliyofana chanjo ya kukabiliana na Omicron
Feb 16, 2022 23:49Shirika la Kutengeneza Dawa la Shifa la Iran limetangaza mafanikio makubwa ya awali katika majaribio ya chanjo ya kukabiliana na COVID-19 aina ya Omicron.
-
Iran: Tuko tayari kushiriki katika operesheni za kulinda amani za Umoja wa Mataifa
Feb 16, 2022 03:42Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kushiriki katika operesheni za kulinda amani za umoja huo katika maeneo mbalimbali duniani.
-
Shamkhani: Mienendo hasi ya US ndilo tishio kuu kwa mapatano yoyote yale
Feb 15, 2022 23:17Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema siri ya kufikiwa mapatano mazuri kwenye mazungumzo ya kuiondolea vikwazo haramu Jamhuri ya Kiislamu ni Tehran kupewa dhamana ya kisheria ambayo itaifanya Marekani isiweze kujitoa kwa mara nyingine tena ndani ya mapatano ya JCPOA.
-
Balozi wa Iran UN: Kuwawekea vikwazo watu wa Iran ni uhalifu dhidi ya ubinadamu
Feb 15, 2022 09:40Zahra Ershadi, balozi na naibu mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa, kuwekewa vikwazo vya upande mmoja wananchi wa Iran hususan vikwazo vya dawa na bidhaa nyinginezo ni jinai na uhalifu sawa na jinai dhidi ya binadamu.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran nchini Pakistan; majirani wawili wenye maslahi na daghadagha ya pamoja
Feb 15, 2022 08:58Jumatatu ya jana tarehe 14 Februari, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alifanya safari ya nchini Pakistan.
-
Mazungumzo ya Vienna; ajenda kuu ya maungumzo ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Uingereza
Feb 15, 2022 04:42Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Uingereza wamejadili misimamo ya nchi mbili katika mazungumzo yanayoendelea sasa huko Vienna nchini Austria kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA.