-
Ujumbe wa Hania kwa Kiongozi Muadhamu: Tunajivunia misimamo yako adhimu
Feb 14, 2022 23:33Kiongozi wa Harakati wa Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amemtumia salamu na ujumbe maalumu Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kumshukuru kwa misimamo yake ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Amir-Abdollahian: Makubaliano mazuri ya JCPOA yanaweza kufikiwa ndani ya muda mfupi
Feb 14, 2022 23:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: ikiwa Marekani na nchi tatu za Ulaya zitakuwa na nia ya dhati kuhusiana na kurejea kwenye utekelezaji kamili wa majukumu yao yaliyoainishwa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, mapatano yanaweza kufikiwa ndani ya muda mfupi.
-
Iran na baadhi ya nchi za Kiislamu zaadhimisha siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Abi Twalib (as)
Feb 15, 2022 05:46Leo Jumapili tarehe 13 Rajan mwaka 1441 Hijria sawa na Tarehe 8 mwezi Machi mwaka 2020 ni siku ya kukumbuka kuzaliwa Amirul Muumin Ali (A.S) Imam wa Kwanza wa Waislamu wa Kishia ulimwenguni.
-
Khatibzadeh: Iran inasubiri majibu ya Wamagharibi katika mazungumzo ya Vienna
Feb 14, 2022 07:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, hakuna mkwamo wowote katika mazungumzo ya Vienna na kilichopo ni kwamba hivi sasa Iran inasubiri majibu kutoka kwa nchi za Magharibi zinazoshiriki kwenye mazungumzo hayo.
-
Mazungumzo ya Vienna; anga nzuri ndani ya kivuli cha ubunifu wa Iran
Feb 13, 2022 23:41Awamu ya nane ya mazungumzo ya Vienna baina ya Iran na kundi la 4+1 inaendelea katika Hoteli ya Palais Coburg nchini Austria huku kukiwa na dalili nzuri za kufanyika mazungumzo katika mazingira yenye kuleta matumaini. Mazungumzo hayo yanaendelea baada ya kusimama kidogo kwa ajili ya kutoa fursa kwa timu za mazungumzo kurejea katika nchi zao kwa mashauriano.
-
Amir-Abdollahian afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali hapa Tehran
Feb 13, 2022 08:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo hapa Tehran leo Jumapili na Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali aliyeko ziarani hapa nchini.
-
Maandamano ya Bahman 22, tangazo jingine la wananchi wa Iran la imani yao kwa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 13, 2022 04:59Maadhimisho ya mwaka wa 43 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yalifikia kileleni Ijumaa ya 11 Februari kwa kufanyika maandamano ya mamilioni ya watu katika karibu miji 1,500 na vijii 3,000 vya Iran.
-
Iran ina uwezo wa kukidhi mahitaji ya zana za kijeshi ya nchi za eneo
Feb 13, 2022 04:46Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina uwezo wa kukidhi mahitaji ya zana za kijeshi na kiulinzi ya nchi za eneo kutokana na uwezo wake mkubwa katika viwanda vya kijeshi.
-
Chanjo ya Iran ya Razi Cov Pars yabainika kuwa na uwezo mkubwa
Feb 12, 2022 08:41Chanjo ya COVID-19 ya Razi Cov Pars iliyotengenezwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imebainika kuwa na uwezo mkubwa na nchi kadhaa tayari zimeshaiagiza.
-
Mwangwi wa sherehe za Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika vyombo vya habari vya kimataifa
Feb 11, 2022 23:29Vyombo vya habari vya kimataifa katika nchi mbalimbali vimeakisi kwa mapana na marefu maandamano makubwa ya kuadhimisha mwaka wa 43 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.