-
Hatua isiyotosha ya Marekani ya kutia kasi mazungumzo ya Vienna
Feb 06, 2022 05:58Baada ya serikali ya Marekani kutangaza kuondoa baadhi ya vikwazo ambavyo Washington ilikuwa imeiwekea Tehran, Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema kuwa, hatua hiyo haitoshi. Wizara ya Mambo ya nje ya Iran imesema, inachotakiwa kufanya Marekani ni kuondoa vikwazo vyake vyote vikiwemo vikwazo vya nyuklia.
-
Iran yajibu madai ya Marekani kuhusu uamuzi wa kufuta baadhi ya vikwazo, yasema hautoshi
Feb 05, 2022 10:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu madai ya Marekani ya kuondoa baadhi ya vikwazo vya nyuklia dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran akisema hatua hiyo haitoshi.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Mapinduzi ya Kiislamu, sawa na Ashura na Ghadir ni akiba isiyomalizika
Feb 04, 2022 08:26Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema: "Mapinduzi ya Kiislamu sawa na matukio ya Ashura na Ghadir ni akiba isiyomalizika na inapaswa kutumiwa ipasavyo."
-
Kamanda wa IRGC: Iran imesimama kidete kukabiliana na Marekani na waitifaki wake
Feb 04, 2022 08:21Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema katika kipindi cha miaka 43 iliyopita, Iran imesimama kwa adhama katika kukabiliana na mashinikzo ya juu kabisa ya Marekani na waitifaki wake.
-
Amir-Abdollahian: Tunatumai ushirikiano wa Iran na Saudia utasaidia kutatua matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu
Feb 04, 2022 04:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Iran na Saudi Arabia ni nchi muhimu katika eneo na Ulimwengu wa Kiislamu na akaeleza kwamba ana matumaini ushirikiano baina ya nchi hizo mbili utasaidia kutatua matatizo ya eneo na ya Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Kiongozi Muadhamu: Uwezo mkubwa wa utambuzi na azma thabiti ni sifa mbili kuu za kuigwa za Sayyidna Hamza
Feb 04, 2022 00:27Matini ya Hotuba ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu aliyotoa katika mkutano na waandaaji wa kongamano la Sayyidna Hamza (as), uliofanyika tarehe 25 ya mwezi uliopita wa Januari ilitolewa katika kongamano hilo lililofanyika jana katika mji wa Qom.
-
Abdollahian: Iran yataka kufikiwa makubaliano ya kudumu na ya kutegemewa Vienna
Feb 03, 2022 09:26Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kufikia makubaliano ya kudumu na ya kutegemewa baina yake na kundi la 4+1 katika mazungumzo ya kujaribu kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA huko Vienna, Austria.
-
Mwili wa Ayatullah Lotfollah Safi Golpaygani kuzikwa leo katika mji wa Karbala, Iraq
Feb 03, 2022 04:48Mwili mtakatifu wa mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu Ayatullah Safi Golpaygani umehamishiwa katika Msikiti wa Sheikh Tusi karibu na Haram ya Imam Ali bin Abi Twalib (AS) baada ya kuwasili katika mji mtakatifu wa Najaf.
-
Abdollahian: Utawala wa Kizayuni wa Israel ni tishio kwa nchi zote za Asia Magharibi
Feb 03, 2022 00:58Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwepo utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Magharibi mwa Asia ni tishio kwa nchi zote na eneo hilo.
-
Raisi: Iran imesimama kidete na kusambaratisha mashinikizo ya juu ya Marekani
Feb 02, 2022 08:42Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mashinikizo ya juu kabisa ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamefeli kutokana na kampeni ya Iran ya mapambano ya kiwango cha juu kabisa.