-
Ejei: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yanatafuatiana kabisa na mapinduzi mengine
Feb 02, 2022 08:31Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran amesema Mapinduzi ya Kiisalmu ya Iran ni tafauti kabisa na mapenduzi mengine dunaini na kuongeza kuwa: "Mbinu aliyotumia Imam Khomeini (MA) ilikuwa ni kuwategemea wananchi."
-
Tarehe 12 Bahman, kumbukumbu ya kurejea Iran Imam Khomeini; kuanza Alfajiri Kumi
Feb 01, 2022 23:03Jumanne ya jana tarehe 12 Bahman kwa mujibu wa kalenda ya Hijria Shamsia iliyosadifiana na tarehe Mosi Februaria 1979 ni siku ya kihistoria ambapo Imam Ruhullah Khomeini muasisi wa Jamhhuri ya Kiisloamu ya Iran alirejea hapa nchini baada ya kuwa uhamishoni kwa miaka 14.
-
Ayatullah Khamenei: Ayatullah Golpaygani alikuwa nguzo ya chuo kikuu cha kidini cha Qum
Feb 01, 2022 11:05Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametuma ujumbe wa salamu za rambirambi kutokana na kifo cha mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu, Ayatullah Safi Golpaygani aliyeaga dunia usiku wa kuamkia leo.
-
Shaikhul-Maraajii Ayatullah Safi Golpaygani aaga dunia
Feb 01, 2022 00:17Ayatullah Safi Golpaygani, mmoja wa Marjaa-Taqlidi katika mji wa Qom hapa nchini amefariki dunia.
-
Umoja wa Mataifa wapongeza ukarimu wa Iran kwa wakimbizi wa Afghanistan
Jan 31, 2022 23:34Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesifu ukarimu7 wa mataifa mawili ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Pakistan kutokana na kuwapokea wakimbizi kutoka nchini Afghanistan.
-
Khatibzadeh: Uhai wa utawala vamizi wa Quds unafungamana na kufanya mauaji
Jan 31, 2022 08:12Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uhai wa utawala vamizi wa Quds unafungamana na ukandamizaji na kufanya mauaji.
-
Kiongozi Muadhamu azuru Haram ya Imam Khomeini MA na maziara ya Mashahidi
Jan 31, 2022 04:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei mapema leo asubuhi amefanya ziara katika Haram toharifu ya Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu na maziara ya Mashahidi katika Makaburi ya Behesht Zahra SA kusini mwa Tehran.
-
Iran yataka mauaji ya Wayemen yasitishwe mara moja
Jan 31, 2022 01:05Ali Asghar Khaji mshauri wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya kisiasa amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Katika Masuala ya Yemen, Hans Grundberg ambapo ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuingilia kati ili kusitisha vita dhidi ya Yemen.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu; ushindi wa ngome ya uzalishaji katika vita vya kiuchumi vya adui
Jan 31, 2022 00:31Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, kusimama kidete sekta ya uzalishaji bidhaa za ndani mbele ya hujuma za kiuchumi na njama za adui za kujaribu kuizuia Iran isiuze mafuta na gesi yake, na pia kusimama imara mbele ya vita vya kuifungia Tehran vyanzo vya fedha za kigeni na kupanga njama za kuzuia mabadilishano ya kibiashara ya Iran na nchi nyingine, kwa hakika ni jihadi na ni miongoni mwa ibada kubwa kabisa.
-
Kiongozi Muadhamu: Jihadi ya wajasiriamali katika ngome ya uzalishaji imeifanya Marekani ikiri kushindwa katika vita vya kiuchumi
Jan 30, 2022 08:28Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, jihadi ya wajasiriamali na wafanyakazi wa viwandani katika ngome ya uzalishaji imeifanya Marekani ikiri kuwa imeshindwa katika vita vyake vya kiuchumi.