-
Marais wa Iran na Ufaransa wajadili suala la kuondolewa vikwazo Tehran
Jan 29, 2022 23:56Rais wa Iran amesisitiza juu ya udharura wa kuondolewa vikwazo wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu, katika mazungumzo yake ya simu na mwenzake wa Ufaransa.
-
Iran, makundi ya Iraq yalaani shambulizi dhidi ya uwanja wa ndege wa Baghdad
Jan 29, 2022 09:46Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na makundi maarufu ya Iraq yamelaani shambulizi la hivi karibuni la roketi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baghdad, wakisema hatua hizo za "kutiliwa shaka" zinalenga kuyumbisha usalama wa nchi hiyo.
-
Amir-Abdollahian: Iran haijafanya mazungumzo yoyote ya moja kwa moja na Marekani
Jan 28, 2022 23:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran haijafanya mazungumzo yoyote ya moja kwa moja na Marekani.
-
Maandamano ya kuwaunga mkono watu wanaodhulumiwa wa Yemen yafanyika nchini Iran
Jan 28, 2022 23:29Maelfu ya wananchi katika miji mingi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameshiriki katika maandamano ya kuunga mkono taifa linalodhulumiwa la Yemen na kulaani jinai zinazotendwa na muungano vamizi unaoongozwa na Saudia dhidi ya taifa hilo.
-
Khatami: Vikwazo vyote vya Marekani dhidi Iran lazima viondolewe
Jan 28, 2022 07:24Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa ya hapa mjini Tehran amegusia mazungumzo yanayoendelea mjini Vienna kuhusu kuondolewa vikwazo vya kidhulma ilivyowekewa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema kuwa, Marekani ina wajibu wa kuondoa vikwazo vyote ilivyoiwekea Iran, tena kwa sura ya kudumu.
-
Umuhimu wa safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar mjini Tehran
Jan 28, 2022 04:54Mohammed bin Abdulrahman Al-Thani, Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu wa nchi hiyo siku ya Alhamisi alifanya ziara mjini Tehran ambapo alionana na kuzungumza na waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa Iran Hussein Amir Abdollahian.
-
Abdollahian na Guterres wanabadilishana mawazo kuhusu hali ya Asia Magharibi
Jan 28, 2022 03:57Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa wamejadili na kubadilishana mawazo kuhusu matukio ya hivi karibuni ya Yemen na Afghanistan na mchakato wa mazungumzo ya nyuklia ya Vienna.
-
Amir Abdollahian: Maslahi kamili ya Iran yanapasa kupatikana katika suala la kuondoa vikwazo
Jan 27, 2022 22:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa maslahi kamili ya Iran yanapasa kupatikana katika suala la kundolea vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran yajibu uropokaji wa Uingereza kuhusu mazungumzo ya JCPOA
Jan 27, 2022 04:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali bwabwaja mpya zilizotolewa na Uingereza juu ya mazungumzo ya kufufua makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yanayoendelea huko Vienna, Austria.
-
Rais Raisi aitumia salamu timu ya taifa ya soka ya Iran katika mechi muhimu ya kombe la dunia
Jan 26, 2022 23:18Rais Ebrahim Raisi ametuma salamu maalumu kwa timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iliyoko kambini kujiandaa na mechi muhimu na Iraq ya kuwania tiketi ya kucheza mashindano ya soka ya kombe la dunia ya mwaka huu wa 2022 nchinii Qatar.