-
Araqchi: Iran haina uadui na nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi
Mar 03, 2026 07:21Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema jibu la Iran la kushambulia kambi za kijeshi za Marekani katika baadhi ya nchi za Ghuba ya Uajemi halina maana kwamba Iran inashambulia nchi hizo.
-
Makamanda wa ngazi za juu wa Iran wameuawa shahidi katika hujuma ya kigaidi ya Israel, Marekani
Mar 01, 2026 04:18Kundi la makamanda wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameuawa shahidi katika hujuma ya kigaidi ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran kutoa jibu kali kwa wauaji wa wanafunzi 150
Mar 01, 2026 03:58Viongozi wa Iran wamelaani vikali shambulio la anga la utawala katili wa Israel dhidi ya shule ya msingi ya wasichana katika mji wa Minab, ulioko katika mkoa wa Hormozgan, kusini mwa Iran, lililopelekea kuuawa shahidi wanafunzi zaidi ya 150.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameuawa shahidi katika hujuma ya kigaidi ya Marekani na Israel
Mar 01, 2026 03:15Inna Lillahi wa Inna Ilayhi Raji’un. Kufuatia shambulio la kikatili na la kigaidi la utawala wa Kizayuni na Marekani, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameuawa shahidi.
-
Spika wa Iran: Israel, US zimekanyaga mstari wetu mwekundu
Mar 01, 2026 03:07Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Bagher Ghalibaf amesema Rais wa Marekani, Donald Trump na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu wamevuka mstari mwekundu wa Jamhuri ya Kiislamu, na watalipa gharama kubwa kwa jinai hiyo.
-
Mamilioni ya Wairani wamuomboleza Kiongozi Muadhamu; taifa lazizima
Mar 01, 2026 02:44Wananchi wa Iran wamemiminika mitaani na katika medani mbali mbali kumuomboleza Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, aliyeuawa shahidi katika shambulizi la kigaidi la Marekani na utawala haramu wa Israel.
-
Larijani: Taifa la Iran litawafanya maadui wajutie uchokozi wao
Mar 01, 2026 02:20Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran, Ali Larijani amesema taifa hili litazifanya Marekani na Israel kujutia uchokozi wao dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran: Mafanikio ya mazungumzo ya nyuklia yanategemea kuwa jadi Marekani
Feb 27, 2026 22:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza kwamba, mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya moja kwa moja kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Marekani yatafanikiwa tu iwapo Washington itayachukuliwa kwa uzito na kuzingatia uhalisia wa mambo.
-
Iran: Kutochukua hatua Baraza la Usalama dhidi ya jinai za Israel ni 'janga'
Feb 27, 2026 22:52Iran imelishutumu Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kufumbia macho mashambulizi mabaya yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon, ambayo yanakiuka makubaliano ya kusitisha mapigano ya 2024.
-
Sera ya kikanda ya Iran: Imejikita katika kudumisha amani, utulivu na kutotegemea madola nje ya eneo
Feb 27, 2026 03:45Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo na Waziri wa Ulinzi wa Armenia kuhusu azma ya Iran ya kustawisha na kuimarisha uhusiano wa pande mbilii na majirani zake hasa Armenia.