-
Iran yasisitiza umoja wa Shia-Sunni katika kukabiliana na njama za maadui wa Waislamu
Oct 16, 2021 01:08Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali kitendo cha magaidi wakufurishaji kuushambulia msikiti wa Bibi Fatima wakati wa Sala ya Ijumaa mjini Kandahar nchini Afghanistan.
-
Salami: Kikosi cha Majini cha IRGC kina uwezo wa kujibu haraka chokochoko
Oct 15, 2021 23:01Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kikosi cha baharini cha jeshi la SEPAH kimefikia upeo wa juu wa uwezo wa kujibu haraka tishio lolote la maadui.
-
Iran yaonya kuhusu hatari ya kimya cha IAEA mbele ya silaha za atomiki ya Israel
Oct 15, 2021 03:06Balozi na mjumbe maalumu wa Iran katika Taasisi za Kimataifa zenye makao yao mjni Vienna Austria amekosoa vikali kimya cha Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA mbele ya mradi wa silaha za atomiki za Israel na kusema kuwa, undumilakuwili wa taasisi hiyo ya kimataifa unachochea uzalishaji wa silaha hizo angamizi duniani.
-
Safari ya Mkuu wa Majeshi ya Iran nchini Pakistan; mtazamo wa kimkakakati wa Tehran na Islamabad kwa ajili ya kustawisha uhusiano wa kiulinzi
Oct 13, 2021 22:54Iran na Pakistan zina malengo na maslahi ya pamoja. Ni kutokana na sababu hiyo ndio maana safari za pande mbili na mazungumzo ya viongozi wa nchi mbili hizo yana umuhimu wa kimkakati.
-
Kamanda Hajizadeh: Mifumo yote ya kiulinzi iliyotumika katika luteka ya Walinzi wa Anga Velayat-1400 ni ya Kiirani
Oct 13, 2021 22:50Kamanda wa Kikosi cha Anga na Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (Sepah) amesema kuwa, mifumo yote ya kiulinzi iliyotumiwa katika luteka ya Walinzi wa Anga Velayat-1400 ni ya Kiirani.
-
Mkurugenzi Mkuu wa IAEA: Hujuma dhidi ya vituo vya nyuklia inapasa zilaaniwe
Oct 13, 2021 04:30Katika kile kinachoelezewa kama msimamo uliochukuliwa kwa kuchelewa na wa kujitoa kimasomaso, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amesema, hujuma na shambulio lolote dhidi ya vituo vya nyuklia inapasa vilaaniwe.
-
Balouji: Kuzusha tuhuma za uongo dhidi ya Iran ni mbinu ya kudumu ya wazayuni
Oct 13, 2021 00:07Mshauri wa ofisi ya uwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema, kuzusha tuhuma bandia na za uongo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ni mbinu ya kudumu inayotumiwa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ili kuficha na kuhafifisha uhalifu na jinai zake dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Tuzo ya Mustafa (saw) 2021 yatolewa kwa wasomi watano wa Kiislamu
Oct 12, 2021 23:02Mkurugenzi wa Taasisi ya Mustafa (saw) amesema kuwa wanasayansi watano Waislamu wametunukiwa tuzo ya taasisi hiyo ya mwanasayansi bora katika Ulimwengu wa Kiislamu mwaka huu wa 2021.
-
Qalibaf: Vita vya vyombo vya habari vya maadui vimezidi vita vya kiuchumi
Oct 12, 2021 08:20Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesisitiza kuwa vita vya vyombo vya habari vya maadui vimevizidi nguvu na kasi vita vya kiuchumi na kwamba hata maadui wa mapinduzi wananufaika na vita hivyo vya vyombo vya habari katika vita vyao vya kiuchumi dhidi ya mataifa mengine.
-
Luteka ya Walinzi wa Anga ya Velayat-1400 yaanza nchini Iran
Oct 12, 2021 04:41Vikosi vya Anga vya Jeshi la Iran na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran vimeanza mazoezi ya kijeshi yaliyopewa jina la 'Walinzi wa Anga ya Velayat-1400' katika maeneo ya jangwani ya katikati mwa nchi.