-
Iran na Afrika Kusini zaafikiana kuimarisha ushirikiano wao
Oct 11, 2021 23:41Serikali za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini zimeazimia kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa pande mbili katika nyuga za kieneo na kimataifa.
-
Iran yatuma ndege nyingine ya misaada ya kibinadamu nchini Afghanistan
Oct 11, 2021 23:02Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma ndege nyingine ya misaada ya kibinadamu nchini Afghanistan kwa ajili ya kusaidiwa majeruhi na familia za Waislamu waliouliwa shahidi na kikatili wakiwa kwenye Sala ya Ijumaa huko Kunduz, kaskazini mwa Afghanistan.
-
Raisi: Iran imepata mafanikio makubwa zaidi pamoja na kuwepo vikwazo
Oct 11, 2021 08:31Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii imeweza kupata mafanikio makubwa katika sekta za ulinzi na nyuklia pamoja na kuwepo vikwazo shadidi vya maadui na hivyo vikwazo kama hivyo haviwezi kuwa kizingiti katika ustawi wa Iran.
-
Meli za kivita za Iran zilisindikiza meli za mafuta za Iran zilizopeleka mafuta Lebanon
Oct 11, 2021 08:28Kamanda wa Kikosi cha Majini cha Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema manowari za jeshi hilo zimekuwa zikisindikiza meli za mafuta za Iran zinazopeleka mafuta Lebanon.
-
China imeiangusha Marekani katika teknolojia
Oct 11, 2021 07:43Mkuu wa zamani wa programu za mitandao katika wizara ya ulinzi ya Marekani, Pentagon, Nicolas Chaillan amesema Marekani imeshindwa na China katika mapambano ya kuwa nchi inayoongoza kwa teknolojia ya akili za kubuni au Artificial Intelligence (AI).
-
Iran: Hatutaruhusu uwepo wa Israel karibu na mipaka yetu
Oct 11, 2021 04:44Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu katu haitaruhusu uwepo wa utawala wa Kizayuni wa Israel karibu na mipaka yake.
-
Iran: Tutaendelea kuiunga mkono kambi ya muqawama Lebanon
Oct 10, 2021 04:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuuunga mkono mrengo wa muqawama na mapambano nchini Lebanon, mkabala wa vitisho na chokochoko tarajiwa za utawala wa Kizayuni.
-
Kiongozi Muadhamu ataka Afghanistan iwaadhibu waliouhusika na shambulio dhidi ya msikiti
Oct 09, 2021 23:22Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito kwa mamlaka za Kabul kuwaadhibu waliohusika na shambulizi la bomu lililoua makumi ya watu msikitini katika mji wa Kunduz nchini Afghanistan juzi Ijumaa.
-
Amir-Abdollahian: Iran ipo pamoja na Syria kwa nguvu zake zote
Oct 09, 2021 22:59Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili lipo pamoja na bega kwa bega na Syria na kuitaja nchi hiyo ya Kiarabu kama mshirika wa kistratijia wa Iran.
-
Mkurugenzi mpya wa IRIB aanza kazi rasmi
Oct 09, 2021 09:07Leo kumefanyika sherehe za kumuarufisha mkurugenzi mpya wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiisalmu ya Iran (IRIB).