-
Chanjo ya PastoCoVac ya Cuba na Iran ni bora zaidi duniani
Oct 09, 2021 08:29Mkuu wa Taasisi ya Pasteur ya Iran amesema chanjo ya COVID-19 ya PastoCoVac imebainika kuwa moja kati ya chanjo zenye uwezo mkubwa zaidi wa kinga duniani.
-
Salamu za rambi rambi za rais wa Iran kufuatia kuuawa shahidi watu wa Afghanistan
Oct 09, 2021 08:25Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kufuatia kuuawa shahidi na kujeruhiwa idadi kubwa ya watu wasio na hatia nchini Afghanistan.
-
Raisi: Tutazidisha mara tatu uzalishaji wa nishati ya nyuklia katika kituo cha Bushehr
Oct 08, 2021 13:12Rais wa Tamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kiwango cha uzalishaji wa umeme katika kiwanda cha nguvu za nyuklia cha Bushehr kitazidishwa mara tatu katika awamu zijazo za ustawi wa kiwanda hicho.
-
Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kuhusu harakati za Israel karibu na mipaka ya Iran
Oct 08, 2021 05:49Katika hali ambayo Iran na Azerbaijan zinasisitiza kuimarisha uhusiano wao kwa ajili ya kudumisha ujirani mwema katika fremu ya maslahi ya pamoja kihistoria, kidini na kiutamaduni, hivi karibuni kumeonekana baadhi ya harakati katika mipaka ya pamoja ya nchi mbili ambazo zinaweza kuharibu uhusiano huo.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran afanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon
Oct 08, 2021 04:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon kuhusu matukio ya karibuni kabisa ya kisiasa ya nchi hiyo na eneo.
-
Iran na Lebanon zasisitizia haja ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Oct 07, 2021 21:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuliunga mkono na kulisaidia taifa la Lebanon linalokabiliwa na mgogoro wa kiuchumi uliotokana na vikwazo.
-
Kiongozi Muadhamu ashiriki maombolezo ya kuuawa shahidi Imam Ridha AS
Oct 07, 2021 08:41Maombolezo ya kukumbuka mwaka alipouawa shahidi Imam Ali bin Musa al Ridha AS, Imam wa Nane wa Waislamu wa Kishia duniani yamefanyika katika Husainia ya Imam Khomeini MA hapa mjini Tehran na kuhudhuriwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
-
Iran: Mazungumzo yajayo ya Vienna sharti yawe na tija ya maana
Oct 06, 2021 09:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema duru ijayo ya mazungumzo ya Vienna yanayolenga kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA inapasa iwe na matokeo ya maana na yenye kutekelezeka.
-
Ndege ya misaada ya kibinadamu ya Iran yatua mjini Kabul, Afghanistan
Oct 05, 2021 07:17Ndege yenye misaada ya kibinadamu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ajili ya wananchi wenye shida wa Afghanistan, imetua katika mji mkuu wa nchi hiyo Kabul na misaada hiyo kukabidhiwa viongozi wa serikali ya mpito ya Taliban.
-
Safari ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Armenia mjini Tehran
Oct 05, 2021 06:53Ararat Samveli Mirzoyan, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Armenia amekutana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na Hussein Amir-Abdollahian Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.