-
Iran: Mazungumzo yetu na Saudia yanaendelea vizuri
Oct 05, 2021 04:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema mazungumzo baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Saudi Arabia yanaendelea vizuri.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu usalama wa eneo na matokeo ya kutegemea majeshi ajinabi
Oct 04, 2021 07:24Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, uingiliaji wa madola ya kigeni katika masuala ya eneo la Asia Magharibi ndio chanzo cha mfarakano na uharibifu katika ukanda huu.
-
Iran yaitaka IAEA itangaze msimamo wake kuhusu ugaidi wa Israel
Oct 04, 2021 03:43Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomi ya Iran (AEOI) ameutaka Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia IAEA utangaze msimamo wake kuhusu vitendo vya kigaidi vya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Eslami: Iran inataka kudhamini asilimia 50 ya umeme wa nchi kwa kutumia nishati ya nyukllia
Oct 04, 2021 00:43Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran ametangaza kuwa: Iran inataka kudhamini asilimia 50 ya mahitaji ya umeme nchini kwa kustafidi na nishati ya atomiki.
-
Kiongozi Muadhamu: Majeshi ya Iran ni ukuta madhubuti dhidi ya vitisho vya maadui
Oct 03, 2021 11:26Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni sawa na ukuta madhubuti na ngao imara ya kuzima vitisho vya maadui wa ndani na nje ya taifa hili.
-
Kukosolewa undumakuwili wa haki za binadamu wa Magharibi sambamba na kubainishwa ukweli na Iran katika Umoja wa Mataifa
Oct 03, 2021 01:10Licha ya kuwa suala la kuheshimiwa haki za binadamu ni moja ya milango muhimu katika hati ya kuasisiwa Umoja wa Mataifa ambayo imetiliwa mkazo; lakini undumakuwili wa madola ya Magharibi katika suala hili na kulitumia kwao suala hili kama wenzo wa kufikia malengo yao, kumelifanya suala la haki za binadamu lipoteze maana na mafuhumu yake ya kweli.
-
Iran: Inachofanya Israel ni kuhatarisha usalama wa Asia Magharibi
Oct 03, 2021 01:09Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya Bunge amesema kuwa, Wazayuni wanachochea kwa makusudi machafuko ili kuhatarisha usalama wa eneo la Asia Magharibi.
-
Amir-Abdollahian: Zawadi ya utawala wa Kizayuni kwa Bahrain na eneo ni machafuko tu
Oct 01, 2021 23:06Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hatua ya utawala wa Bahrain ya kumkaribisha na kumpokea Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa utawala bandia wa Israel ni khiyana na usaliti wa wazi kwa malengo matukufu ya Wapalestina na muqawama wa Palestina na kubainisha kwamba, zawadi ya utawala wa Kizayuni kwa Bahrain na eneo ni machafuko tu.
-
Kamanda wa jeshi la nchi kavu la Iran: Tunazifuatilia kikamilifu harakati za Wazayuni
Oct 01, 2021 10:02Kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa tangu uje utawala wa Kizayuni karibu na mipaka ya nchi, Iran imezidi kuguswa na suala la usalama wa mpaka wake wa kaskazini magharibi na kwa sababu hiyo harakati za utawala huo haramu zinafuatiliwa kikamilifu.
-
Khatibzadeh: Kuikaribisha Israel eneo la Ghuba ya Uajemi kunavuruga amani
Oct 01, 2021 04:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema kuwa, aina yoyote ya kuandaa mazingira ya kuwepo Israel katika eneo la Ghuba ya Uajemi inatazidisha machafuko na mivutano katika eneo hilo na kunapaswa kulaaniwa.