-
Kubainishwa misimamo ya Iran kuhusu Syria katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
Sep 30, 2021 22:55Katika miaka ya hivi karibuni Syria imekuwa ikikabiliwa na vita na harakati kubwa za makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na Marekani na sehemu ya ardhi ya nchi hiyo ikadhibitiwa na kukaliwa kwa mabavu na magaidi.
-
Mkuu wa AEOI: Wakala wa IAEA haupasi kuwa uwanja wa makundi ya kigaidi
Sep 30, 2021 08:23Mkuu wa Taasisi ya Atomiki ya Iran (AEOI) amesema kuwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) ambao ni jumuiya huru na ya kimataifa haupasi kuwa uwanja wa michezo wa makundi ya kigaidi.
-
Newsweek: Uanachama wa Iran katika Jumuiya ya Shanghai umeibana Magharibi
Sep 30, 2021 02:58Jarida la kila wiki la Newsweek la nchini Marekani limeandika kuwa, uanachama wa kudumu wa Iran katika Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai utazidi kuibana Magharibi katika kukabiliana na mradi wa nyuklia wa Iran.
-
Iran: Hakuna dola lolote linalothubutu kuishambulia kijeshi Jamhuri ya Kiislamu
Sep 30, 2021 00:17Mshauri Mkuu wa Amirijeshi Mkuu wa Majeshi ya Iran amesisitiza kuwa, hakuna dola lolote duniani linalothubutu kuishambulia kijeshi Jamhuri ya Kiislamu.
-
Jebeli: Fursa na uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni wa upeo wa kimataifa
Sep 29, 2021 09:31Mkuu mpya wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran IRIB amesema, uono wa shirika hilo si wa kimaonesho; na akabainisha kuwa, fursa na uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni wa upeo wa kimataifa na ulimwengu mzima.
-
Jibu la Iran kwa ripoti isiyo sahihi ya Grossi kuhusu kamera za ukaguzi katika taasisi za nyuklia
Sep 28, 2021 23:01Inasikitisha sana kuona kwamba baada ya matukio matatu ya uharibu ya ugaidi katika taasisi za nyuklia za Iran katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umeshindwa kulaani maovu hayo.
-
Iran yajibu madai mapya ya Marekani; Washington haina haki ya kusema chochote
Sep 28, 2021 08:27Mkuu wa Taasisi ya Atomiki ya Iran (AEOI) amepinga madai mapya ya Marekani kuhusu ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu Iran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA na kusisitiza kuwa, nchi ambazo zimeshindwa hata kulaani vitendo vya kigaidi vilivyofanywa katika taasisi za nyuklia za Iran, hazina haki ya kusema chochote kuhusu miradi ya nyuklia ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
'Licha ya njama kubwa za Wazayuni, nguvu za Wapalestina zinaongezeka siku baada ya siku'
Sep 28, 2021 08:27Msemaji wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu yaani Bunge la Iran amesema kuwa, wananchi wa Palestina wanazidi kupata nguvu siku baada ya siku na kwamba mlingano wa nguvu unazidi kubadilika katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
-
Mienendo ya Marekani; kigezo cha maamuzi ya Iran kuhusu mazungumzo JCPOA
Sep 27, 2021 10:02Kabla ya kurejea nchini wiki hii akitokea Marekani, Hossein Amir Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran alieleza kwamba: "Jumbe zinazokinzana tunazotumiwa na viongozi wa Marekani kupitia vyombo vya habari au duru za kidiplomasia hazitakuwa kigezo cha sisi kuchukua maamuzi ya mwisho."
-
Kiongozi Muadhamu: Harakati ya kueleza haki inazima hujuma na propaganda za adui
Sep 27, 2021 08:49Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumzia hujuma za kipropaganda zinazofanywa na maadui dhidi ya taifa la Iran kwa ajili ya kushawishi fikra za watu kwa kutumia mbinu na nyenzo mbalimbali na kusema harakati za kutoa ufafanuzi na kueleza haki zinazima hujuma hizo za kipropaganda.