-
Kamanda Salami: Mipaka ya Iran ina usalama na ulinzi wa kutosha
Aug 13, 2021 08:39Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amelithibitishia taifa la Iran kuwa mipaka ya mashariki ya nchi hii ipo salama.
-
Marasimu ya Kimataifa ya "Watoto Wanaonyonya wa Hussein" yafanyika katika nchi zaidi ya 40 duniani
Aug 13, 2021 03:26Marasimu ya Kimataifa kwa jina la "Watoto Wachanga Wanaonyonya wa Hussein a.s" yamefanyika leo Ijumaa katika maeneo mbalimbali hapa nchini Iran na katika nchi 45 duniani sambamba na Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa Muharram.
-
Balozi wa Uingereza Tehran aiomba radhi serikali na wananchi wa Iran
Aug 12, 2021 21:55Balozi wa Uingereza mjini Tehran ametoa maelezo kuhusu picha iliyosambazwa mitandaoni akiwa pamoja na balozi wa Russia na akaiomba radhi serikali na wananchi wa Iran.
-
Iran yatoa mkono wa pole kwa taifa la Algeria kufuatia makumi kuuawa na moto misituni
Aug 12, 2021 03:41Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameeleza masikitiko yake baada ya moto mkubwa unaoendelea kuteketeza misitu nchini Algeria, kuua makumi ya watu na kuwaacha wengine wengi bila makazi.
-
Kudhibiti wimbi la tano la maambukizi ya corona na haja ya kuwepo ushirikiano mkubwa zaidi
Aug 12, 2021 02:14Sambamba na kushadidi mgogoro wa maambukizi ya corona nchini Iran na maeneo mengine ya dunia, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa suala la kupambana na virusi hivyo ndilo jukumu kuu na la dharura kwa sasa hapa nchini Iran.
-
Raisi: Itakuwa vigumu kuondokana na hali ya sasa iwapo suhula zote hazitatumiwa kwa ajili ya kutokomeza corona
Aug 11, 2021 22:51Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, wimbi la sasa la maambukizi ya corona linahitaji juhudi za pande zote na ameitaka Wizara ya Mambo ya Nje kuchukua hatua zote za dharura za kuongeza na kuharakisha uagizaji wa chanjo kutoka nje ya nchi.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq mjini Tehran; mashauriano kuhusu malengo ya pande mbili na ya kieneo
Aug 11, 2021 05:56Safari ya karibuni ya Fuad Mohammed Hussein, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq mjini Tehran ambapo ameonana na kuzungumza na viongozi kadhaa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetathminiwa na wachambuzi wa mambo kuwa yenye umuhimu mkubwa.
-
Shamkhani: Tunafuatilia kwa karibu nyendo za kutia shaka za Marekani, Uingereza na utawala haramu wa Israel
Aug 11, 2021 03:12Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, taifa hili linafuatilia kwa karibu nyendo za kutia shaka za Marekani, Uingereza na utawala haramu wa Israel.
-
Rais wa Iran: Ushirikiano wa kieneo bila ya uingiliaji wa ajinabi ni sharti la lazima la usalama wa kudumu
Aug 10, 2021 23:41Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, ushirikiano wa kieneo bila ya uingiliaji wa madola ya kigeni ni sharti la lazima la usalama wa kudumu.
-
Kiongozi Muadhamu: Kukabiliana na corona ndilo jambo la kwanza na la haraka zaidi nchini
Aug 11, 2021 06:49Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, kukabiliana na corona ndilo jambo la kwanza na la haraka zaidi la kushughulikiwa nchini.