-
Mazungumzo ya simu ya Marais wa Iran na Ufaransa; sisitizo la kutekelezwa ahadi za JCPOA, udharura wa kulindwa usalama wa eneo
Aug 10, 2021 22:24“Serikali mpya ya Iran inakaribisha kwa mikono miwili suala la kustawisha uhusiano na Ufaransa kwa msingi wa kuheshimiana na kuzingatia maslahi ya pamoja.”
-
Rais Raisi: Tunakaribisha kustawisha uhusiano na Ufaransa kwa msingi wa kuheshimiana na kwa maslahi ya pamoja
Aug 09, 2021 22:04Rais Ebrahim Rais amesema, serikali mpya ya Iran inakaribisha kustawisha uhusiano na Ufaransa kwa msingi wa kuheshimiana na kuzingatia maslahi ya pamoja.
-
Spika wa Bunge la Iran: Uungaji mkono kwa Palestina utaendelea hadi kukombolewa Quds
Aug 09, 2021 07:36Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, taifa hili litaendelea kuunga mkono mapambano ya taifa la Palestina na mhimili wa muqawama hadi Quds tukufu itakapombolewa.
-
Jibu la Iran kwa madai ya kundi la G7; Iran haitasita kutetea mamlaka yake ya kujitawala katika Ghuba ya Uajemi na Bahari ya Oman
Aug 09, 2021 07:35Chokochoko za hivi karibuni za utawala wa Kizayuni wa Israel katika kadhia ya meli ya ‘Mercer Street’ kwa mara nyingine zimeweka wazi njama za pande kadhaa za madola ya Magharibi dhidi ya Iran.
-
Rekodi mpya ya wahanga wa Covid-19 nchini Iran; watu 588 waaga dunia kwa siku
Aug 09, 2021 06:55Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran imetangaza kuwa, watu 588 wameaga dunia hapa nchini kwa maradhi ya Covid-19 katia kipindi cha masaa 24 yaliyopita.
-
Khateebzadeh: Usalama wa Ghuba ya Uajemi ni mstari mwekundu wa Iran
Aug 09, 2021 03:32Msemaji wa Wizara ya Mambio ya Nchi za Nje ya Iran amesema kuwa, usalama wa eneo la Ghuba ya Uajemi ni mstari mwekundu wa Iran na kuongeza kuwa, matamshi yaliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza kuhusu taifa la Iran si mapya bali ni kikonyo cha mnyororo wa matamshi yasiyo ya kuwajibika yanayotolewa na maafisa wa nchi hiyo dhidi ya Iran.
-
Zarif: Jamii ya kimataifa ichukue msimamo wa wazi kuhusu ufumbuzi wa kisiasa wa mgogoro wa Afghanistan
Aug 08, 2021 21:54Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa jamii ya kimataifa inapasa kuchukua msimamo wa wazi wa kuunga mkono utatuzi wa kisiasa wa mgogoro huko Afghanistan na kulaani machafuko na athari zake mbaya.
-
Mkuu wa IRIB Kimataifa alipongeza Shirika la Habari la Iran Press
Aug 08, 2021 06:29Sambamba na tarehe 8 Agosti ambayo ni Siku ya Kitaifa ya Wanahabari nchini, Mkuu wa Kitengo cha Kimataifa cha Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, IRIB, Dkt. Peyman Jebelli alitembelea Shirika la Habari la Iran Press na kusema juhudi na bidii ni ufunguo wa mafanikio makubwa ya shirika hilo.
-
Qalibaf: Iwapo kuna magaidi, basi kinara wao ni utawala wa Kizayuini wa Israel
Aug 08, 2021 06:26Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran, Bunge la Iran, amesisitiza kuwa, wale ambao waliwalea magaidi wa ISIS wanachukua misimamo dhidi ya Iran katika hali ambayo iwapo kuna magaidi basi kinara wao ni utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kamanda wa IRGC: Tuna furaha kuona Marekani imekasirishwa na Hashd al Sha'abi
Aug 08, 2021 06:22Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Meja Jenerali Hossein Salami amekutana na Faleh al-Fayyad mkuu wa Jeshi la Kujitolea la Wananchi wa Iraq maarufu kama Hashd al Sha'abi na kusema kushiriki rais wa Iraq na mkuu wa Hashd al Sha'abi katika sherehe za kuapishwa rais wa Iran ni nukta yenye ujumbe muhimu.