-
Jeshi la Majini la Iran lapata meli mbili mpya za kivita zilizoundwa nchini
Jun 14, 2021 08:29Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo limepokea meli mbili mpya za kivita ambazo zimeundwa kikamilifu hapa nchini.
-
Rouhani: Uwezo wa jeshi la Iran ni kwa ajili ya kujihami
Jun 14, 2021 03:23Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uwezo wa vikosi vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ni kwa ajili ya kujihami na kutoa jibu litakalomfanya adui ajutie.
-
Iran yakosoa uamuzi wa Saudia wa kuzuia ibada ya Hija kwa mwaka wa pili mfululizo
Jun 13, 2021 22:35Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran katika Masuala ya Hija amekosoa uamuzi wa serikali ya Saudi Arabia wa kuzuia ibada ya Hija kwa mahujaji kutoka nje ya nchi kwa mwaka wa pili mfululizo.
-
Balozi: Kenya na Iran kuimarisha uhusiano wao katika uga wa TEHAMA
Jun 13, 2021 21:55Balozi wa Iran nchini Kenya amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuzipa uzoefu wake kampuni za kitaalamu za Kenya, na kuunda jukwaa la kubadilishana mawazo juu ya masuala ya teknolojia.
-
Mdahalo wa tatu wa urais wa Iran, wagombea waeleza mipango yao na kukosoa mitazamo na utendajikazi
Jun 13, 2021 10:39Mdahalo wa tatu na wa mwisho wa uchaguzi wa rais wa awamu ya 13 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ulifanyika Jumamosi alasiri.
-
Rouhani: Njia ya kutayarisha, kutengeneza na kutoa chanjo imekwishaandaliwa
Jun 13, 2021 07:05Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, njia ya kutayarisha, kutengeneza na kutoa chanjo ya corona tayari imeandaliwa.
-
Njama za Saudia za kuzusha machafuko nchini Iran katika kipindi cha uchaguzi wa rais
Jun 12, 2021 09:21Baada ya kupasishwa majina ya wagombea urais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, vyombo vya habari vya nchi hasimu za kanda ya Magharibi mwa Asia hususan vile vyenye mfungmano na Saudi Arabia na Imarati vilianzisha kampeni maalumu kwa shabaha ya kuwashawishi wananchi wasishiriki katika zoezi hilo na kuibua machafufuko hapa nchini.
-
Iran: Marekani inalia machozi ya mamba, haijaachana na sera za Trump
Jun 12, 2021 08:36Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Masuala ya Kisiasa amesema ni kinaya kuiona Marekani inalia machozi ya mamba katika hali ambayo Washington inaendeleza jitihada zake za kuwataabisha na kuwahangaisha kwa njaa na umaskini Wairani milioni 82.
-
Mdahalo wa mwisho wa Urais nchini Iran unafanyika leo
Jun 12, 2021 02:42Mdahalo wa tatu na wa mwisho wa wagombea wa urais nchini Iran unafanyika alasiri ya leo mwendo wa saa kumi na moja kwa saa za hapa nchini, kupitia televisheni na radio za taifa.
-
Hatua mpya za vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Jun 11, 2021 08:25Wizara ya Biashara ya Marekani Alkhamisi ya jana iliwaweka watu na mashirika kadhaa katika orodha yake ya vikwazo kwa kisingizio cha nafasi yao katika kudhamini fedha kwa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (Sepah) na harakati ya wapiganaji wa kujitolea ya Ansarullah nchini Yemen.