-
Spika Qalibaf: Kukombolewa Quds ni kadhia muhimu mno kwa Iran
Jan 18, 2021 23:44Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuhusiana na njama za Marekani na utawala haramu wa Israel za kuyagawa mataifa ya Kiislamu katika eneo la Asia Magharibi.
-
Jenerali Baqeri: Marekani inaogopa uwezo wa kiulinzi wa Iran
Jan 18, 2021 10:58Kamanda wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema harakati na mienendo ya Marekani katika eneo la Asia Magharibi haina thamani yoyote ya kioperesheni, na badala yake inaonesha wazi namna dola hilo la kibeberu linatiwa kiwewe na uwezo mkubwa wa kujihami wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Salehi: Kazi muhimu zaidi ya Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran ni kuzalisha umeme wa nyuklia
Jan 18, 2021 04:26Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amesema kuwa uzalishaji umeme wa nyuklia ni kipaumbele na kazi muhimu zaidi ya taasisi hiyo.
-
Iran yaitahadharisha Marekani kuhusu ndege za kivita aina ya B-52
Jan 18, 2021 01:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif ameashiria uwepo wa ndege za kivita za Marekani aina ya B-52 katika eneo la Asia Magharibi na kuonya kuwa, Iran haitasita kutungua chombo chochote kinachokiuka anga yake.
-
Zarif: Nchi za Ulaya katika JCPOA hazijafanya lolote la maana kuyalinda maafikiano hayo ya kimataifa
Jan 18, 2021 01:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: viongozi wa nchi tatu wanachama wa JCPOA (Ujerumani, Uingereza na Ufaranasa) hazifanya lolote la maana kuyalinda maafikiano hayo ya kimataifa.
-
Uchunguzi na karantini ya haraka, silaha bora ya kuikabili corona ya Uingereza
Jan 17, 2021 09:53Katibu wa Tume ya Kielimu ya Kamati ya Kupambana na Corona nchini Iran amesema kuwa, inawezekana kuzuia maambukizo ya corona ya Uingereza kwa kutumia vizuri uwezo wa mashirika ya Iran yanayozalisha vifaa vya kupimia COVID-19 pamoja na kuwaweka karantini haraka wanaopatikana na ugonjwa huo.
-
Salami: Makombora ya balestiki ni miongoni mwa mafanikio makubwa ya kiulinzi ya Iran
Jan 16, 2021 22:52Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema, utumiaji wa makombora ya balestiki ambayo yana uwezo ya kulenga shabaha zilizokusudiwa zikiwa baharini ni mafanikio makubwa ya kiulinzi kwa Iran.
-
Maneva ya 15 ya Mtume Mtukufu (SAW); dhihirisho la nguvu ya makombora na ndege zisizo na rubani
Jan 16, 2021 07:39Vitisho vya kijeshi na kuibua machafuko vilikuwa moja ya machaguo ya kimkakati ya maadui kwa ajili ya kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu tangu mwanzoni mwa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Zarif: Hatua ya Marekani dhidi ya Ansarullah ni dharau kwa amani
Jan 16, 2021 04:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amelaani vikali hatua ya utawala unaoondoka madarakani Marekani dhidi ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen.
-
Jeshi la Iran la IRGC lafanya majaribio makubwa ya makombora mapya
Jan 16, 2021 04:10Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) linafanya mazoezi makubwa ya makombora katika jangwa la kati mwa Iran ambapo limefanyia majaribio makombora mapya ya balistiki na ndege za kivita zisizo na rubani.