-
Iran: Saudia imegeuka wakala wa kutekeleza mipango ghalati ya Israel
Jan 15, 2021 11:19Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema watawala wa Saudi Arabia wamegeuka na kuwa wakala wa kutekeleza sera na mipango ghalati ya utawala haramu wa Israel katika eneo la Asia Magharibi.
-
Iran yavurumisha makombora ya cruise katika mazoezi ya kijeshi baharini
Jan 15, 2021 01:07Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limevurumisha makombora kadhaa ya cruise katika siku ya pili ya mazoezi makubwa ya kijeshi kusini mwa nchi.
-
Ukwamishaji mpya wa Marekani dhidi ya juhudi za Iran za kupambana na virusi vya corona
Jan 14, 2021 23:05Baada ya kujitoa katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia mashuhuri kama JCPOA hapo mnamo Mei 2018, na katika fremu ya kile kinachotajwa kuwa 'mashinikizo ya juu kabisa', Marekani imekuwa ikitekeleza vikwazo vikali zaidi katika historia yake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na wala haijawahi kulegeza vikwazo hivyo vya kinyama hata katika kipindi hiki kigumu cha kuenea duniani virusi hatari vya corona.
-
Rouhani: Ongezeko la wawekezaji wa kigeni Iran ni ishara ya kufeli vikwazo vya Marekani
Jan 14, 2021 09:54Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ongezeko la asilimia 56 ya wawekezaji wa kigeni katika maeneo ya biashara huru nchini Iran ni ishara ya kufeli sera za Marekani za ugaidi wa kiuchumi na mashinikizo ya juu kabisa.
-
Marekani yaliwekea vikwazo shirika la Iran linalounda chanjo ya corona
Jan 14, 2021 09:36Marekani imekithirisha uhasama wake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuliwekea vikwazo shirika la Iran ambalo liko katika mstari wa mbele kuunda chanjo ya corona au COVID-19.
-
Iran yajibu baada ya Marekani kuiweka Answarullah katika orodha ya makundi ya kigaidi
Jan 14, 2021 04:31Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, kitendo cha serikali ya Marekani cha kuiingiza harakati ya wananchi ya Aswarullah katika orodha ya makundi ya kigaidi ni kukamilisha njama haribifu za vita vya kikatili na dhulma walivyobebeshwa wananchi wasio na ulinzi wa Yemen.
-
Mshauri wa Kiongozi Muadhamu: Marekani haiwezi kuihadaa Iran kwa pipi
Jan 13, 2021 23:38Mshauri wa ngazi ya juu wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Marekani sharti iiondolee Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo vyote na kwamba Tehran haitakubali kitu kingine ghairi ya hicho.
-
Rouhani: Mwisho wa serikali ya Trump umeonyesha ubabe hauna mwisho mwema
Jan 13, 2021 10:55Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kufedheheka na kuaibika utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani katika siku zake za mwisho ni ishara kuwa, ubaguzi wa rangi na ukiukwaji sheria ni mambo ambayo hayana mwisho mwema.
-
Iran yailaani Marekani kwa kuiweka Cuba katika orodha ya 'waungaji mkono ugaidi'
Jan 13, 2021 04:42Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya Marekani kuiweka Cuba katika orodha ya nchi ambazo eti zinaunga mkono ugaidi. Iran aidha imesema inafungamana na Cuba katika mapamano yake dhidi ya madola ya kibeberu duniani.
-
Meli kubwa zaidi ya kivita iliyoundwa Iran yazinduliwa rasmi
Jan 13, 2021 04:38Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo limepokea meli yake kubwa zaidi ya kivita ambayo imeundwa nchini Iran. Meli hiyo kubwa ya kivita ambayo imeundwa kikamlifu na wataalamu wa Iran ina uwezo wa kusheheni helikopta kadhaa kwa ajili ya oparehseni muhimu za baharini.