-
Meja Jenerali Salami: Iran itatoa jibu kali kwa kitendo chochote cha adui
Jan 02, 2021 09:42Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) amesema: "Sisi tutajibu kitendo chochote cha adui kwa pigo kali".
-
Rais Rouhani azindua stempu ya kumbukumbu ya Shahidi Soleimani
Jan 02, 2021 09:34Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo amezindua stempu ya kumbukumbu ya Shahidi Qassem Soleimani.
-
Hajj Qassem Soleimani; mhimimili wa muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni
Jan 02, 2021 04:38Alfajiri Januari Tatu unatimia mwaka wa kwanza wa kumbukumbu ya kuuliwa shahidi Hajj Qassem Suleimani. Mhimili wa muqawama unakumbushia shahid huyo mkubwa na utawala wa Kizayuni pia umefurahishwa kwa kuuliwa kamanda huyo wa muqawama. Swali muhimu hapa ni hili kuwa Kamanda Suleimani alitoa huduma gani kwa muqawama ambayo imeughadhibisha utawala wa Kizayuni?
-
Kiongozi Muadhamu aomboleza kifo cha Ayatullah Misbah Yazdi
Jan 02, 2021 03:58Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe maalumu wa kuomboleza kifo cha mwanachuoni mkubwa, faqihi mwanaharakati, Ayatullah Muhammad Taqi Misbah Yazdi.
-
Kamanda Soleimani, shujaa wa dunia katika vita dhidi ya ugaidi
Jan 02, 2021 03:56Leo Jumamosi, tarehe pili Januari 2021 inayosadifiana na tarehe 13 Dei 1399 mwaka wa Kiirani wa Hijria Shamsia, inasadifiana na mwaka mmoja tangu alipouawa shahidi na kidhulma, Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH.
-
Kamanda Salami: Iran iko tayari kujibu chokochoko zozote zile za adui
Jan 01, 2021 23:16Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema harakati za hivi karibuni za kijeshi za Marekani katika eneo zinatokana na makosa ambayo nchi hiyo imeyatenda mwaka uliopita kwa kuwaua kigaidi Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi Al Muhandis na kuongeza kuwa: "Iran iko tayari kutoa jibu kwa chokochoko zozote zile za adui katika eneo."
-
Brigedia Jenerali Qaani: Njia ya Kikosi cha Quds haitabadilishwa kwa ushetani wa Marekani
Jan 01, 2021 09:56Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (Sepah) nchini Iran amesema kuwa Shahidi Qassem Soleimani ni shujaa wa taifa la Iran, Umma wa Kiislamu na vilevile shujaa wa kuyashinda madola ya kibeberu na kuongeza kuwa, njia ya Kikosi cha Quds na wanamuqawama haiwezi kubadilishwa kwa ushetani wa Marekani.
-
Barua ya Iran kwa Baraza la Usalama ikionya chokochoko za Marekani katika Ghuba ya Uajemi
Jan 01, 2021 04:43Ofisi ya uwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa imeliandikia barua Baraza la Usalama ikionya kuhusiana na chokochoko za kijeshi za Marekani katika eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Jenerali Baqeri: Kisasi kikali kwa wauaji wa Shahidi Suleimani muda wake hauishi
Jan 01, 2021 00:47Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kisasi cha mauaji ya kigaidi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC kitakuwa kikali na wala hakina muda wa kumalizika.
-
Zarif aishangaa Marekani kupiga ngoma ya vita badala ya kukabili corona
Jan 01, 2021 00:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameionya vikali Marekani kwa kupiga ngoma ya vita na kusisitiza kuwa, taifa hili lipo tayari kujilinda.