-
Watu wengine 128 waaga dunia kwa Covod-19 nchini Iran
Dec 31, 2020 09:19Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran amesema kuwa, watu wengine zaidi ya elfu 6 wameambukizwa virusi vya corona na wengine 128 wamefariki dunia kwa Covid-19 katika kipindi cha saa 24 zilizopita.
-
Onyo la Iran kuhusu hatari na madhara ya chokochoko za Marekani Asia Magharibi
Dec 31, 2020 09:17Siasa za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu usalama wa eneo la Asia Magharibi zimesimama juu ya msingi wa kushirikiana pande zote na kwamba usalama wa Ghuba ya Uajemi hauwezi kutoka nje ya msingi huo mkuu.
-
Rais Rouhani: Shahidi Qassim Suleimani amewazawaidia izza Waislamu na kuwadhalilisha maadui
Dec 31, 2020 08:58Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, shahdi Luteni Jenerali Qassim Suleimani amelizawadia izza wakazi wote wa eneo la Asia Magharibi na Waislamu wa eneo hili na amewadhalilisha maadui katika matukio mengi.
-
Khatibzadeh amhutubu Pompeo: Dunia imekataa kufanywa mateka wa kuburuzwa na nyinyi
Dec 31, 2020 00:28Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemhutubu waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo kwamba dunia imekataa kufanywa mateka wa kuburuzwa na Marekani.
-
Raisi: Chanjo ya corona ya Iran hadi sasa haijaonesha athari yoyote hasi + Video
Dec 30, 2020 12:25Naibu Waziri wa Afya na Mafunzo ya Tiba wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hadi hivi sasa hakuna athari zozote hasi zilizooneshwa na watu waliofanyiwa majaribio hayo, licha ya kupita zaidi ya masaa 24 ya tangu kudungwa chanjo hiyo.
-
Rouhani: Taifa la Iran litaikata miguu Marekani katika eneo
Dec 30, 2020 11:06Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaikata miguu Marekani katika eneo la Asia Magharibi katika kisasi chake cha mauaji ya kigaidi ya Luteni Jenerali Qassem Suleimani, Kamanda wa zamani wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH).
-
Majaribio ya chanjo ya kwanza ya COVID-19 iliyotengenezwa nchini Iran
Dec 30, 2020 09:14Chanjo ya corona au COVID-19 iliyotegenezwa na watafiti Wairani imeanza kufanyiwa majaribio kwa wanadamu siku ya Jumanne 29 Disemba ambapo watu waliojitolea wamedungwa chanjo hiyo.
-
Kamanda wa IRGC: Dei 9 ni siku ambayo Wairani walisimama kupinga fitina
Dec 30, 2020 00:54Mratibu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Tarehe Tisa Dei ni siku ya taifa la Iran kwani ni siku ambayo wananchi walijotokeza na kusimama kidete kupinga waliokuwa wameibua fitina.
-
Machafuko yanaendelea Darfur Sudan, mwito wa amani watolewa
Dec 29, 2020 08:13Licha ya kutolewa miito ya kila namna ya kukomeshwa mapigano ya kikabila huko magharibi mwa Sudan, mapigano bado yanaendelea katika eneo hilo lenye historia ndefu ya machafuko na mapigano.
-
Amir Abdolahian: Ukoo wa Aal Khalifa umeitia kitanzi demokrasia nchini Bahrain
Dec 29, 2020 08:12Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, ukoo wa Aal Khalifa umeitia kitanzi demokrasia nchini Bahrain.