-
Hamasa ya tarehe 9 Dei, 1388 (30 Disemba, 2009)
Dec 29, 2020 05:44Tarehe 9 Dei mwaka 1388 Hijria Shamsia iliyosadifiana na tarehe 30 Disemba 2009, mamilioni ya wananchi wa Tehran na miji mingine hapa nchini walifanya maandamano makubwa kulalamikia machafuko ya barabarani na himaya ya madola ya Magharibi kwa machafuko hayo.
-
Chanjo ya corona iliyotengenezwa Iran leo imeanza kufanyiwa majaribio kwa watu
Dec 29, 2020 04:44Msemaji wa Tume ya Utekelezaji wa Maagizo ya Imam Khomeini (ma) amesema, chanjo ya corona iliyotengenezwa na wanasayansi wa Iran itaanza kufanyiwa majaribio leo kwa watu waliojitolea kudungwa chanjo hiyo.
-
Iran inawafuatilia watuhumiwa 48 katika faili la mauaji ya shahid Qassem Suleimani
Dec 29, 2020 04:44Katibu wa Tume ya Haki za Binadamu ya Idara ya Mahakama ya Iran amesema, watu 48 wametambuliwa kuhusika na mauaji ya kigaidi ya Luteni Jenerali Qassem Suleimani na hatua zinazohitajika zimesha chukuliwa kwa ajili ya kuwafuatilia watu hao.
-
Nafasi ya Shahidi Soleimani katika kuibua muundo na kudumisha Harakati ya Muqawama katika kukabiliana na adui
Dec 28, 2020 13:00Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) alielekea Iraq Januari 3 mwaka 2020 kufuatia mwaliko rasmi wa wakuu wa Iraq.
-
Khatibzadeh: Mizozo ya Afghanistan inaweza kupatiwa ufumbuzi kwa njia za kisiasa
Dec 28, 2020 08:52Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, njia ya kuipatia ufumbuzi mizozo na mivutano inayoikabili Afghanistan ni utatuzi wa kisiasa.
-
Mashirika 7 ya kuzalisha chanjo ya corona nchini Iran kuingia katika majaribio ya wanadamu
Dec 28, 2020 04:47Mkuu wa Kamati ya Kielimu ya Kukabiliana na Corona nchini Iran amesema kuwa, mashirika 7 ya Kiirani yanayofanya utaifiti wa kuzalisha chanjo ya COVID-19, yataanza kuingia katika awamu ya majaribio ya binadamu ya chanjo zao kabla ya kumalizika mwezi Februari 2021.
-
Upendo na kuwa kitu kimoja Waislamu na wafuasi wa dini za wachache Iran; dhihirisho la umoja endelevu wa taifa
Dec 27, 2020 21:31Mwaka mpya wa 2021 miladia unakaribia. Kwa kukaribia kuingia mwaka mpya wa miladia sambamba na kufanyika ibada maalumu kwa mnasaba wa kuadhimisha kuzaliwa Nabii Isa Masih (as), jamii ya Wakristo wa Iran, nayo pia imo kwenye maandalizi ya kuukaribisha mwaka huo mpya wa 2021.
-
Bunge la Iran lalaani hatua ya Marekani ya kukiwekea vikwazo Chuo Kikuu cha al-Mustafa
Dec 27, 2020 20:51Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imelaani vikali hatua ya serikali ya Marekani ya kukiwekea vikwazo Chuo Kikuu cha Kimataifa cha al-Mustafa cha Iran.
-
Rais Rouhani: Serikali inafuatilia kila lahadha ili kuvifanya vikwazo kutokuwa na taathira
Dec 26, 2020 11:03Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, serikali inafanya hima na juhudi kubwa tena kila lahadha kuhakikisha kwamba vikwazo vya kidhulma vya Marekani dhidi ya taifa hili vinafubaa na kutokuwa na taathira.
-
Watu wengine 134 waaga dunia kwa Covod-19 nchini Iran
Dec 26, 2020 11:01Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran amesema kuwa, watu wengine zaidi ya elfu 5 wameambukizwa virusi vya corona na wengine 134 wamefariki dunia kwa Covid-19 katika kipindi cha saa 24 zilizopita.