-
Bunge la Iran lalaani hatua ya Marekani ya kukiwekea vikwazo Chuo Kikuu cha al-Mustafa
Dec 27, 2020 20:51Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imelaani vikali hatua ya serikali ya Marekani ya kukiwekea vikwazo Chuo Kikuu cha Kimataifa cha al-Mustafa cha Iran.
-
Rais Rouhani: Serikali inafuatilia kila lahadha ili kuvifanya vikwazo kutokuwa na taathira
Dec 26, 2020 11:03Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, serikali inafanya hima na juhudi kubwa tena kila lahadha kuhakikisha kwamba vikwazo vya kidhulma vya Marekani dhidi ya taifa hili vinafubaa na kutokuwa na taathira.
-
Watu wengine 134 waaga dunia kwa Covod-19 nchini Iran
Dec 26, 2020 11:01Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran amesema kuwa, watu wengine zaidi ya elfu 5 wameambukizwa virusi vya corona na wengine 134 wamefariki dunia kwa Covid-19 katika kipindi cha saa 24 zilizopita.
-
Shahidi Soleimani alikuwa mbeba bendera ya kuangamiza magaidi wa ISIS
Dec 26, 2020 03:54Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Shahidi Luteni Qassem Soleimani alikuwa mbeba bendera ya mapambano yaliyopelekea kusambaratishwa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh katika eneo la Asia Magharibi na hata dunia nzima.
-
Ujumbe wa Rais wa Iran kwa mnasaba wa kukumbuka kuzaliwa Nabi Isa AS
Dec 26, 2020 03:53Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia salamu za pongezi viongozi wa dunia kwa mnasaba wa kukumbuka kuzaliwa Nabii Isa Masih-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake- na kuwadia mwaka mpya wa 2021 Miladia.
-
Kiongozi Muadhamu awatakia kheri Wakristo katika sherehe zao za X-Mass
Dec 25, 2020 23:27Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewatumia ujumbe Wakristo wa Iran na duniani kwa ujumla akiwatakia kheri katika sherehe zao wa X-Mass.
-
Onyo kali la Iran dhidi ya chokochoko yoyote ile ya kijeshi ya Marekani
Dec 25, 2020 23:09Matamshi ya vitisho yaliyotolewa hivi karibuni na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran baada ya kuituhumu Tehran kwamba, ilihusika katika mashambulio ya hivi karibuni ya maroketi dhidi ya ubalozi wa Wsahington mjini Baghdad, yamekabiliwa na radiamali kali ya taifa hili.
-
Iran yarekodi idadi ya chini zaidi ya vifo vya corona tokea Septemba
Dec 25, 2020 10:12Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesajili idadi ya chini zaidi ya vifo vya wagonjwa wa Covid-19 katika kipindi cha saa 24 zilizopita tokea Septemba 13 mwaka huu.
-
Rouhani: Kuzinduliwa miradi ya kitaifa ya petrokemikali ni dhihirisho la nguvu ya taifa la Iran
Dec 24, 2020 10:41Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutaja kuzinduliwa na vijana wataalamu wa Kiirani miradi mbalimbali ya kitaifa ya petrokemikali kuwa ni dhihirisho la nguvu ya taifa la Kiislamu la Iran na ni pigo kubwa kwa ubeberu wa kimataifa.
-
Zarif amshambulia Trump kwa kuihusisha Iran na mashambulio ya Iraq
Dec 24, 2020 04:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemjia juu Rais Donald Trump wa Marekani ambaye ameituhumu Tehran kuwa imehusika na mashambulio ya maroketi dhidi ya ubalozi wa US mjini Baghdad, Iraq.