-
Mkutano wa 34 wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu waanza mjini Tehran
Oct 29, 2020 08:40Mkutano wa 34 wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umeanza kufanyika mjini Tehran ukihudhuriwa na shakhsia 167 wa ulimwengu wa Kiislamu.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa vijana wa Ufaransa, awataka wamhoji Macron kwa nini anamtusi Mtume wa Mungu kwa jina la uhuru wa maoni?
Oct 29, 2020 07:52Kingozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amewatumia ujumbe vijana wa Ufaransa akiwataka wamhoji Rais wa nchi hiyo, Emmanuel Macron kwa nini kwa nini anamtusi Mtume wa Mwenyezi Mungu kwa jina la uhuru wa maoni?
-
Iran kuvigeuza vikwazo vipya dhidi yake kuwa waraka usio na itibari
Oct 29, 2020 04:42Mkuu wa Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili litavigeuza vikwazo vipya lilivyowekewa na Marekani kuwa waraka usio na itibari.
-
Kiongozi Muadhamu aushangaa undumakuwili wa Rais Macron wa Ufaransa
Oct 29, 2020 03:57Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameeleza kushangazwa kwake na undumakuwili wa Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwa kulikingia kifua jarida la Charlie Hebdo la nchini hiyo ya Ulaya kwa kuchapisha tena vibonzo vya kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW, kwa kisingizio cha uhuru wa kujieleza.
-
Mkuu wa shirika la utangazaji la Iran IRIB asisitiza kuvishtaki vyombo vya habari vinavyoeneza uhasama na chuki dhidi ya Iran
Oct 28, 2020 22:58Karibu kanali 130 zinazotangaza kwa lugha ya Kifarsi na nyingine karibu 140 zinazotangaza kwa lugha na lahaja tofauti za Kiirani zinatangaza vipindi vyenye chuki dhidi ya Iran na kulenga moja kwa moja utamaduni na utambulisho wa Kiirani na Kiislamu wa taifa hili.
-
Rais Rouhani: Wamagharibi wasijiingize kwenye masuala ya ndani ya Waislamu
Oct 28, 2020 08:56Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, kama nchi za Magharibi, za Ulaya na Ufaransa ni wakweli katika madai yao kwamba zinapigania amani, udugu, usalama na utulivu katika jamii ya mwanadamu basi zinapaswa kuacha kuingilia masuala ya ndani ya Waislamu.
-
Watu 415 wafariki dunia kwa corona nchini Iran
Oct 28, 2020 08:52Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran ametangaza habari ya kugunduliwa zaidi ya wagonjwa 6,000 wapya wa ugonjwa wa COVID-19 humu nchini na kufarikia dunia wagonjwa 415 katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita.
-
Ayatullah Larijani ataka Waislamu waungane kukabili chuki dhidi yao
Oct 28, 2020 04:22Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Iran amelaani vikali hatua ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ya kuunga mkono kitendo cha kifidhuli cha jarida la Charlie Hebdo cha kuchapisha tena vibonzo vya kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW na kusisitiza kuwa, kuna udharura wa Waislamu kuwa na umoja na ushirikiano katika kukabiliana na chuki dhidi yao na Uislamu.
-
Iran: Njama mpya za Marekani na Israel dhidi yetu zitafeli
Oct 28, 2020 04:15Katibu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema njama mpya za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel za kutaka kutoa pigo kwa Iran kupitia uanzishwaji wa uhusiano wa kawaida na Tel Aviv, zitagonga mwamba.
-
Mkutano wa 34 wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu kufanyika Tehran
Oct 27, 2020 09:02Mkutano wa 34 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu unatazamiwa kuanza Alhamisi katika mji mkuu wa Iran, Tehran ambapo mada kuu itakuwa 'Ushirikiano wa Kiislamu Wakati wa Maafa na Majanga'.