-
Qalibaf: kuna udharura wa kustafidi na suhula za mabunge ya nchi za Kiislamu ili kusimamia haki za Wapalestina
Aug 18, 2020 02:29Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa, kuna udharura wa kustafidi na suhula za mabunge ya nchi za Kiislamu ili kupinga mapatano ya ya kufedhehesha yaliyofikiwa kati ya Imarati na utawala wa Kizayuni na ili kusimamia haki ya wazi ya Wapalestina.
-
Mhimili wa Muqawama utasambaratisha njama ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni
Aug 17, 2020 22:20Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Iran katika masuala ya kimataifa ameashiria mapatano ya kuanzishwa uhusiano baina ya utawala wa Kizayuni na Umoja wa Falme za Kiarabu na kusema: "Mhimili wa muqawama utafichua wale wote wanaohusika na uhaini na kuzima njama zao."
-
Iran: Yanayojiri sasa Afghanistan ni matokeo ya uingiliaji na uwashaji moto wa vita wa Marekani
Aug 17, 2020 08:48Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, matukio yanayojiri leo hii huko Afghanistan ni matokeo ya uingiliaji na uwashaji moto wa vita uliofanywa na Marekani ndani ya nchi hiyo.
-
Rais Rouhani: Trump amefanya jinai na uovu mkubwa zaidi kwa taifa la Iran
Aug 17, 2020 01:38Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema serikali ya Marekani inatumia mabavu na kukiuka sheria za kimataifa na kuongeza kuwa: Rais wa sasa wa Marekani amefanya uovu na jinai mbaya zaidi dhidi ya taifa la Iran.
-
Hamid Shahriari: Kuanzisha uhusiano na utawala ghasibu wa Israel ni kuisaliti Qurani Tukufu
Aug 16, 2020 21:58Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kuyakurubisha Pamoja Madhehebu ya Kiislamu amesema kuwa: kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na utawala wa Kizayuni wa Israel ni kuisaliti Qurani Tukufu na kumpa mgongo Mtume wa Mwenyezi, Muhammad (S.A.W).
-
Kumbukumbu ya kurejea nchini Iran mateka wa Vita vya Kulazimishwa
Aug 16, 2020 21:56Tarehe 17 Agosti 1990 taifa la Iran lilishuhudia kuanza kurejea katika ardhi ya Jamhuri ya Kiislamu mateka wa Vita vya Kulazimishwa vya Iraq dhidi ya Iran walioachiliwa huru baada ya kutekwa na kufungwa kwa miaka mingi na utawala wa Kibaathi wa Iraq.
-
Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Iran aitaka Imarati kuangalia upya uamuzi wake wa kuanzisha uhusiano na Israel
Aug 16, 2020 07:11Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaka Imarati kutazama upya uamuzi wake wa kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel na kwamba, isiendelee kupita katika njia ambayo itadhuru usalama wa eneo la Asia Magharibi.
-
Spika wa Bunge la Iran: Mapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel katu hayatasimama
Aug 16, 2020 07:07Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameashiria makubaliano ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na utawala ghasibu wa Israel ya kuwa na uhusiano wa kawaida baina yao na kusema kuwa, mapambano dhidi ya Israel katu hayatasimama.
-
Iran inaweza kujikidhia asilimia 90 ya mahitaji yake ya kijeshi
Aug 16, 2020 03:18Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii inaweza kujikidhia asilimia 90 ya mahitajio yake ya kiulinzi kwa kiwango cha juu.
-
Safari ya Zarif Beirut, sisitizo la kuwa tayari Tehran kwa ajili ya kuisaidia Lebanon
Aug 16, 2020 02:33Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Muhammad Javad Zarif ambaye alikuwa safarini mjini Beirut, Ijumaa iliyopita alikutana na Rais Michel Aoun wa Lebanon na kuwasilisha salamu za rambirambi za Iran kwa serikali ya taifa la Lebanon kutokana na maafa yaliyosababishwa na mlipuko mkubwa wa bandari ya Beirut. Zarif pia alisema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuendelea kutoa misaada kwa nchi ya Lebanon.