-
Ujumbe wa Zarif katika kumbukumbu ya ushindi wa Hizbullah katika Vita vya Siku 33
Aug 14, 2020 03:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametuma ujumbe wa pongezi kwa kwa serikali na watu wa Lebanon kwa mnasaba wa mwaka wa 14 wa ushindi uliojaa fahari wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika Vita vya Siku 33.
-
Iran: Pompeo amelihadaa bunge la nchi yake ili kumuuzia silaha mwashamoto wa vita katika eneo
Aug 13, 2020 09:20Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amelihadaa bunge la nchi yake ili kuweza kumuuzia silaha mwashaji moto mkuu wa vita katika eneo hili la Asia Magharibi.
-
Onyo la Rouhani kuhusu JCPOA; Ulaya isitumbukie kwenye mtego wa Marekani
Aug 13, 2020 04:54Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa azimio lilopendekezwa na Marekani katika Barazala Usalama la Umoja wa Mataifa linakiuka moja kwa moja azimio nambari 2231 la baraza hilo na hivyo kuzitaka nchi zote na hasa zilizotia saini mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA, zilipinge.
-
Dakta Zarif: Kusambaratisha Marekani makubaliano ya nyuklia ya Iran kutakuwa ni kurejea katika 'sheria za mwituni'
Aug 13, 2020 03:38Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kusambaratisha kikamilifu Marekani makubaliano ya nyuklia ya Iran kutakuwa sawa na kurejea katika 'sheria za mwituni'.
-
Chanjo ya corona ya Iran imefanyiwa majaribio kwa mwanadamu
Aug 12, 2020 23:03Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa chanjo ya corona ya Iran sasa inaendelea kufanyiwa majaribio katika mwili wa mwandamu.
-
Rais Rouhani amwambia Macron: Ulaya isikubali kuburutwa na Marekani
Aug 12, 2020 23:02Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa ufaransa akisema kuwa Marekani daima imekuwa ikifanya jitihada za kuua mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kusisitiza kuwa: Ulaya haipasi kukubali kuburutwa na Marekani na kutumbukia katika mtego wake.
-
Marekani yalegeza msimamo kuhusu kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
Aug 12, 2020 23:00Juhudi za Marekani za kutaka vikwazo vya silaha dhidi ya Iran virefushwe katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimekabiliwa na changamoto kubwa.
-
Zarif: Marekani haina uwezo wa kutumia mfumo wa kurejesha vikwazo dhidi ya Iran
Aug 12, 2020 06:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema muswada ambalo Marekani imemependekeza katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa halitaidhinishwa na baraza hilo na kuongeza kuwa: "Kwa mtazamo wa kisheria, Marekani haina uwezo wa kutumia mfumo wa kurejesha vikwazo dhidi ya Iran."
-
Rouhani: Uwezo wa kijeshi wa Iran ni kwa maslahi ya eneo lote
Aug 12, 2020 06:16Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inatumia silaha na zana zake kwa ajili ya kulinda nchi mbele ya wavamizi ajinabi na kuongeza kuwa: "Uwezo wa kujihami na kisilaha wa Iran ni kwa maslahi ya eneo lote."
-
Vikwazo visivyo vya kisheria haviwezi kulemaza sekta ya ulinzi ya Iran
Aug 12, 2020 06:02Wataalamu vijana wa Kiirani hawataruhusu vikwazo visivyo vya kisheria kulemaza vifaa na zana za kijeshi za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.