-
Iran yaitaka dunia isimame na kupinga uvunjaji sheria wa Marekani
Aug 12, 2020 03:30Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mataifa ya dunia yanapaswa kusimama na kupinga hatua za Marekani za kukanyaga na kukiuka sheria za kimataifa.
-
Qatar: Uhusiano wetu na Iran ni wa ujirani mwema; vikwazo dhidi ya Tehran havina matokeo chanya
Aug 12, 2020 03:29Mjumbe maalumu wa Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Qatar katika masuala ya kupambana na ugaidi na upatanishi kwa ajili ya kuipatia ufumbuzi mizozo na hitilafu amesema kuwa, uhusiano wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni wa ujirani mwema.
-
Iran: Baraza la Ghuba ya Uajemi liache kutii Marekani
Aug 11, 2020 23:19Mkuu wa Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uwepo wa Marekani katika eneo la Ghuba ya Uajemi ni kinyume cha sheria na chanzo cha ukosefu wa usalama na uthabiti na hivyo nchi wananchama za Baraza la Uhusiano la Ghuba ya Uajemi hazipaswi kuitii Marekani.
-
Takwimu za karibuni za maambukizi ya corona Iran, karibu 289,000 wamepona COVID-19
Aug 11, 2020 07:39Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran ametangaza habari ya kusajiliwa kesi mpya zaidi ya elfu mbili za maambukizi ya Covid-19 na kupona watu karibu 289,000 hapa nchini.
-
Ali Rabiei: Iran itajibu hatua yoyote ya uchochezi ya Marekani
Aug 11, 2020 01:51Msemaji wa Serikali ya Iran amekosoa muswada uliopendekezwa na Marekani kwa ajili ya kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Iran na kusema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itajibu vikali hatua yoyote ya kichochezi ya Marekani.
-
Raisi: Marekani, Israel na baadhi ya nchi za Ulaya zinataka kuzusha fitina Lebanon
Aug 10, 2020 20:59Mkuu wa Idara ya Mahakama za Iran ameeleza kusikitishwa na tukio la kuumiza mno la mlipuko wa bandari ya Beirut na kusema Wamarekani, utawala wa Kizayuni wa Israel na baadhi ya nchi za Ulaya zinataka kuzusha fitina nchini Lebanon.
-
Iran itavuka changamoto zote kwa kusimama imara na kutegemea umoja wake wa kitaifa
Aug 10, 2020 20:57Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itavuka salama changamoto zote zinazoikabili kwa kusimama imara na kutegemea umoja na mshikamano wa wananchi wake.
-
Mousavi: Wamarekani wanatumia vibaya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
Aug 10, 2020 08:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amezungumzia juhudi zinazofanywa na Marekani kwa ajili ya kurefusha vikwazo vya silaha dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema kuwa: Wamarekani wanatumia vibaya taasisi za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Mousavi: Baadhi ya nchi za kinafiki zimejaribu kujionyesha kama watetezi wa Walebanon
Aug 10, 2020 03:34Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Abbas Mousavi amesema baadhi ya nchi zenye misimamo ya kinafiki zimejaribu kujionyesha kama watetezi wa watu wa Lebanon.
-
Mousavi: Nchi iliyotumia mabomu ya nyukliia kuua watu Japan inadai kukabiliana na silaha nyuklia
Aug 09, 2020 23:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa nchi iliyotumia mabomu ya nyuklia katika miji ya Hiroshima na Nagasaki nchini Japan, badala ya kuwajibika kutokana na jinai hiyo, sasa inadai inapambana na silaha za mauaji ya halaiki.